Only happens kama mtu hana wanasheria wakuelewekaKesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029.
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029.
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Ndio utahira mnaoweza? Wait and seeDk. Slaa aliomba poo ndio ikaisha, mahakama ya chini ikijikoroga tunapeleka notice of appeal, faili linakaa parking kwa miezi kadhaa
yaani ku prove hayo maneno aliyosema lissu kama ni uhaini ama la ichukue miaka 3? Labda ichukue miaka 3 kwa figisu kama gari la kimpeleka rumande halipoKesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili w kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Dk silaa hakuwa na support alionayo lissu, achilia mbali status na utaalam wa mambo ya kiesheria.Dk. Slaa aliomba poo ndio ikaisha, mahakama ya chini ikijikoroga tunapeleka notice of appeal, faili linakaa parking kwa miezi kadhaa
Hawajui kuwa kiliwaka mpaka mchonga akakimbilia Kigamboni. Siyo huu uhaini wa kitapeli wa kina Mafwele na KingaiEnzi za Mwalimu sio kwamba kulikuwa hamna Mawakili wenye uwezo, watu waliogopa Mkono wa chuma. Wewe unawajua Mawakili maarufu, bongo hii kuna Mawakili ni alumnus wa Harvard and Stanford Law schools, wapo bongo hii, usitishe watu kwa "exposure" yako finye juu ya Mawakili na Uwakili.
Pia wenda ulihadithiwa, ule wa Mwalimu ulikuwa uhaini kweli wa silaha na watu walikufa, yalikuwa sio masihara wala mzaha wala sio siasa, yalikuwa ni Maasi ya Vita na Mchonga kweli alitingwa. 😁
Kuhusu muda: Kwani Lissu akiwekwa kizuizini mpaka 2030, harakati zitaisha?.
Support ipi unazungumzia anayo lissu?Dk silaa hakuwa na support alionayo lissu, achilia mbali status na utaalam wa mambo ya kiesheria.
Hawajui kuwa kiliwaka mpaka mchonga akakimbilia Kigamboni. Siyo huu uhaini wa kitapeli wa kina Mafwele na Kingai
Sheria huzijui weweDk. Slaa aliomba poo ndio ikaisha, mahakama ya chini ikijikoroga tunapeleka notice of appeal, faili linakaa parking kwa miezi kadhaa