Lissu keshaona hamjielewi, kaamua Kula hela za Abdul ajitie kuvuruga amani akimbie uchaguzi kujifanya mhaini awaache na unyumbu wenu. Baada ya uchaguzi anaachiwa anaenda zake ubelgiji.Haijalishi Lissu atakaa miaka mingapi jela.
Hata Mandela alikaa jela miaka 27 lakini haikuzuia Afrika Kusini kupata Uhuru.
Mfungeni hata Lissu maisha ila Mungu lazima aiokomboe Tanzania dhidi ya udhalimu wenu.
Mzeee haki haipatikani Kwa maneno AfricaHaijalishi Lissu atakaa miaka mingapi jela.
Hata Mandela alikaa jela miaka 27 lakini haikuzuia Afrika Kusini kupata Uhuru.
Mfungeni hata Lissu maisha ila Mungu lazima aiokomboe Tanzania dhidi ya udhalimu wenu.
2030Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Japo unapenda hayo na kufurahia ila Nakwambia Lissu hamtamkuta na hatia yoyote na mtamwachia.Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Nani huyo?Enzi za Mwalimu sio kwamba kulikuwa hamna Mawakili wenye uwezo, watu waliogopa Mkono wa chuma. Wewe unawajua Mawakili maarufu, bongo hii kuna Mawakili ni alumnus wa Harvard and Stanford Law schools, wapo bongo hii, usitishe watu kwa "exposure" yako finye juu ya Mawakili na Uwakili.
Pia wenda ulihadithiwa, ule wa Mwalimu ulikuwa uhaini kweli wa silaha na watu walikufa, yalikuwa sio masihara wala mzaha wala sio siasa, yalikuwa ni Maasi ya Vita na Mchonga kweli alitingwa. 😁
Kuhusu muda: Kwani Lissu akiwekwa kizuizini mpaka 2030, harakati zitaisha?.
ichukue hata miaka 100 lakini ukweli ni kwamba hakuna UCHAGUZI TANZANIA BALI KUNA UCHAFUZI. Na ccm hakiwezi kujibu hoja za washindani wake. chama hiki kinategemea dola tu basiKesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
SafiiKesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Haki gan? Bry ana njaa tuHata ingechukua miaka 50 Cha msingi Lissu atakumbukwa kama mpigania haki
Rejea ya Mdude ilichukuwa muda gani?Tuanziye hapoKesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Siasa sio kibali cha kuvunja sheria
Roho mbaya puo zetu wote zimeinama chini,mtu alisema akiwa Belgium je Nina hakikishiwa siasa huru na salama.wakasema.haina.shida.sasa.mnaweka.kizuizini gerezani ili iweje wakati alisema naomba mnihakikishie usalama.Dk. Slaa aliomba poo ndio ikaisha, mahakama ya chini ikijikoroga tunapeleka notice of appeal, faili linakaa parking kwa miezi kadhaa
Alisema anakuja kuanzisha uasi kwa kuunda vikosi vya kutumia silaha, alivuka mstari wa amaniRoho mbaya puo zetu wote zimeinama chini,mtu.alisema.akiwa.Belgium je Nina hakikishiwa siasa huru na salama.wakasema.haina.shida.sasa.mnaweka.kizuizini gerezani ili iweje wakati alisema naomba mnihakikishie usalama.
Hapa kinachofuata Bora kuomba sick sheet kwenda kuchekiwa risasi yetu kiunoni,mtu ana risasi kiunoni hata soni hamuoni kumweka korokoroni.
Tumepiga kambi hapa.Karibu sana tumshikishe adabu huyo jamaa