Kesi za uhaini ni kesi ngumu sana, na huchukua muda mrefu kumalizika. Hii inaweza kufika hata 2029. Na hapa sioni mawakili wa kiwango cha Lakha aliyesimamia kesi ya uhaini enzi ya Nyerere.

Unadhani itakusaidia nini wewe chawa?.
Ccm ilishagota mwisho na mbaya zaidi wenye akili walishaamua kuwaachia chama machawa zero brain.
Haki huwa haidhurumiwi, haki husimamiwa na kutetewa na Mungu mwenyewe.