PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naombea haki itendeke haraka iwezekanavyo, kamwe isicheleweshwe, tusiharibu uchumi wa nchi yetu pasipo na sababu. Watu warudi kwenye shughuri zao za kila siku including TAL kwenye shughuri zake za kisiasa ambapo tunahitaji kuiona demokrasia ikichukua nafasi yake kupitia uchaguzi ujao
 
Amina🙏🙏🙏
 
Mbona hakuna kinachoendelea?
 
Zinaitwa hype, ila kwa watu tunaofaham usalama si lazima. huku US mfungwa haletwi mahakamani na rundo la watu


Nchi zote zikiamua kuhype kitu Kwa sababu mbalimbali. Ndio unaona maigizo kama hayo ya usalama. It's more of kufikisha ujumbe.
 

View: https://www.youtube.com/live/UBfiuAqfLW8?si=faFnTspX4OThRCh7
 
Hizi delaying tacticts ambazo zinafanywa na upande wa mashtaka ni absolute bullshit. Kila siku ushahid haukamiliki, wakati kesi kama hii jalada huwa halikamiliki bila evidence

Why vyombo vinajiabisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…