Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,694
- 10,832
Post in thread 'Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?' Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
View attachment 3353289Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353267
Inasema kuwa mtuhumiwa aachiwe akalale kwake na jamhuri watakapokamilisha upelelezi ndio wamfikishe mahakamani mtuhumiwa, wasifanye haraka kwenda mahakamani kabla hawajajipanga.upelelezi haujakamilika
kwani Haki Jinai inasemaje kama Upelelezi haujakamilika?
We ulitakaje!!?Sasa ulinzi qa nini wote huo kwa ajili ya nini dhidi ya nini matumizi manaya ya kodi z raia
Kumbe anapakagwa mafuta huyu Lissu!!?? Nilikuwa silijui hilo!Mpakwa mafuta wa Bwana huyu.
Si unajua ikitokea mahasimu wa Rais Samia Suluhu wakamdhuru TL lawama zitaenda kwa Samia Suluhu?
Hivyo basi anawajibu wa kumlinda kwa nguvu zote ili asiwape loophole maadui zake
asante kwa ufafanuzi,Inasema kuwa mtuhumiwa aachiwe akalale kwake na jamhuri watakapokamilisha upelelezi ndio wamfikishe mahakamani mtuhumiwa, wasifanye haraka kwenda mahakamani kabla hawajajipanga.
AmeenMungu mbariki Lissu.
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
View attachment 3353289Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353267
Ndugu uani sio jambo la kawaida,atujui Lissu na CHADEMA wanampango gani asa na marafiki zao wa IDU na EUMagereza wote hao wanaokimbizana na gari wanafanya hivyo kwa kusudi gani hasa? Ndio usalama? Kweli wizara ya mambo ya ndani ni bure kabisa.
Hakuna sababu ya msingi ya kuzurura na bunduki hadharani bila mantiki yoyote. Labda wanatafuta attention tu. Wamekuwa kama polisi wanaotafuta attention.
Shitaka lake aliwezi kutoa room ya hivyo.Uani na uasi hamna bail wala niniasante kwa ufafanuzi,
sasa mbona hawamwachilii na hawajakamilisha upelelezi wao?
Yaani uonevu wote huu anaofanyiwa bado una mashaka kwamba si haki yake kushinda?Ikiwa haki yake atashinda....
Ndugu uani sio jambo la kawaida,atujui Lissu na CHADEMA wanampango gani asa na marafiki zao wa IDU na EU
Uani nini?Shitaka lake aliwezi kutoa room ya hivyo.Uani na uasi hamna bail wala nini
Uhaini ni nini?Uani nini?
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
View attachment 3353289Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353267
Sasa si ni mapendekezo tu,yaani haijawa sheriaasante kwa ufafanuzi,
sasa mbona hawamwachilii na hawajakamilisha upelelezi wao?
😀😀Kumbe anapakagwa mafuta huyu Lissu!!?? Nilikuwa silijui hilo!