PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukombozi gani unaouzungumzia ndugu? nchi ilishakombolewa na Mwl Nyerere hii. Samia mitano tena! hutaki hamia Kongo
Kwa ushetani wa Bishungwa IGP Polisiccm na chawaccm wakiongozwa na Amos makala wanaenda kuiangamiza ccm na pia mzimu wa magufuli na laana toka kwa waliotekwa inamtafuna huyo mama yenu huenda mungu akajibu kilio cha wapenda haki na Dr mpango kuwa Rais wa mpito
 
Umeanza kupiteza akili wahi matibabu
 
Muda mwafaka wa polisi wetu kudhalilishwa na wanasheria😀
Division zero na wanunuzi wagushi wa vyeti matumbo joto kwani walimshauri mama afanye uonevu ili waandae bajeti ya wizi pesa kazi maalum, wezi huko ccm humchochea mama avurunde kisha wanatumia kama kisingizio kupiga pesa kwa lengo la kutuliza mzuka
 
Back
Top Bottom