PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hili la kuwa Live limefurahisha sana kuna watu kama Kibatala walikuwa overated sana hapa kwenye live ndio unajua ni ngumbaru tu
Ahahahahaha! Na hiyo mbinu moja matata sana Serikali wameitumia kummaliza Lissu na Chadema yake.
 
Akiwa hakimu wa mahakama ya wilaya ya Kinondoni, alisikiliza rufaa ya kesi yangu. Kilichonishangaza siku ya hukumu, aliyoisoma kwa njia ya mtandao, nilisikia akitulisha maneno ambayo mimi na wakili wangu hatukuwahi kuyasikia wala kuyasema katika kesi ile.

Kwa mara ya kwanza nilithibitisha mwenyewe jinsi mahakama zetu zinavyoendeshwa kihuni.

Hivyo mnategemea kuona haki inatendeka kwenye kesi ya Lissu ni sawa na kusubiria nyoka ajifungue ndama
 
Akiwa hakimu wa mahakama ya wilaya ya Kinondoni, alisikiliza rufaa ya kesi yangu. Kilichomshangaza siku ya hukumu, aliyoisoma kwa njia ya mtandao, nilisikia akitulisha maneno ambayo mimi na wakili wangu hatukuwahi kuyasikia wala kuyasema katika kesi ile.

Mmeshaanza siyo? Nyie nyumbu itabidi mtafute dunia yenu ya kuishi
 
Akiwa hakimu wa mahakama ya wilaya ya Kinondoni, alisikiliza rufaa ya kesi yangu. Kilichomshangaza siku ya hukumu, aliyoisoma kwa njia ya mtandao, nilisikia akitulisha maneno ambayo mimi na wakili wangu hatukuwahi kuyasikia wala kuyasema katika kesi ile.

Kwa mara ya kwanza nilithibitisha mwenyewe jinsi mahakama zetu zinavyoendeshwa kihuni.

Hivyo mnategemea kuona haki inatendeka kwenye kesi ya Lissu ni sawa na kusubiria nyoka ajifungue ndama
Na kweli leo nimeona kabisa kuwa hafai...unaona kabisa kuwa ana inclination fulani
 
Mnajidanganya sana nyie watu yani wote mnaonekana viazi kama mawakili wenu
Kila kitu kipo live. Hapo hakuna shobo wala nini. Na kwa taarifa yako, ukiona Serikali imeamua iwe live, jua Lissu tayari kitanzi!
 
Akiwa hakimu wa mahakama ya wilaya ya Kinondoni, alisikiliza rufaa ya kesi yangu. Kilichomshangaza siku ya hukumu, aliyoisoma kwa njia ya mtandao, nilisikia akitulisha maneno ambayo mimi na wakili wangu hatukuwahi kuyasikia wala kuyasema katika kesi ile.

Kwa mara ya kwanza nilithibitisha mwenyewe jinsi mahakama zetu zinavyoendeshwa kihuni.

Hivyo mnategemea kuona haki inatendeka kwenye kesi ya Lissu ni sawa na kusubiria nyoka ajifungue ndama
Mimi mpaka sasa hivi sielewi kwa nini hakimu anategemea notes zake na sio Stenographer wa Mahakama?

Amandla...
 
Anaweza kusema jambo ambalo kwenye jicho/sikio la kawaida ikaonekana ni kosa pia nadhani anafanya makusudi akijua kwenye jicho/sikio la kisheria halina adhari
 
Nyerere alipambana na kesi gani?

..Mwalimu Nyerere alishtakiwa na kuhukumiwa katika kesi ya uchochezi. Badala ya kutumikia kifungo Tanu walimsaidia akalipa faini.

..Nadhani washtakiwa wenzake Robert Makange, na Mohammed Baghdele walitumikia vifungo.

..Ngoja tumuite Mohamed Said atueleze details za kesi ya uchochezi dhidi ya Mwalimu Nyerere na wenzake.

Cc Nguruvi3
 
Back
Top Bottom