Bunge la ma-graduate wa community concern training institute?Sheria na haki jinai kipi kinatambulika kama sheria ya bunge??

Mimi nimezungumzia viewers katika channels , wewe unazungumzia mahudhurio ya kwenye mikutano! Kama unadhani kesi kama hii kuwa na viewers 15,000 ungesema. Ndio maana watu kama wewe mliona kuwa Heche amemuumbua Mrema aliposema analipwa mamilioni kila wiki na X kutokana na kurasa yenu ya X.Unasikitisha sana, hata kukomalia jambo kama hili.
Unasemaje kuhusu mikutano yao huko mikoani; haikupi fikra zozote kuhusu hali ilivyo?
Labda nikuulize tu kuhusu zile chopa za CHAUMA zimefikia wapi?
Sina shaka, tutaona....Yaani uonevu wote huu anaofanyiwa bado una mashaka kwamba si haki yake kushinda?
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285Dakika 11 za wakili Peter Kibatala akijibu hoja za mawakili wa serikali waliosema lissu ametukana ndani ya mahakama kwa kusema 'No reforms No election'
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353365
==========================================
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Juni 16, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mahakama imempa onyo kali kwa kutamka kauli ya "No reform, no election" bila ruhusa akiwa ukumbini, ikitafsiriwa kama dharau kwa Mahakama.
Lissu anadaiwa kutoa maneno ya uchochezi Aprili 3, 2025 jijini Dar es Salaam, akihamasisha kuzuia Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kumshinikiza kiongozi wa serikali.
Endelea kuloga ndugu, Utakufa wewe na utamwacha Rais Samia akitawala hadi 2030Kwa ushetani wa Bishungwa IGP Polisiccm na chawaccm wakiongozwa na Amos makala wanaenda kuiangamiza ccm na pia mzimu wa magufuli na laana toka kwa waliotekwa inamtafuna huyo mama yenu huenda mungu akajibu kilio cha wapenda haki na Dr mpango kuwa Rais wa mpito
Unajitoa ufahamu bure kwa sababu za kijinga tu!Mimi nimezungumzia viewers katika channels , wewe unazungumzia mahudhurio ya kwenye mikutano! Kama unadhani kesi kama hii kuwa na viewers 15,000 ungesema. Ndio maana watu kama wewe mliona kuwa Heche amemuumbua Mrema aliposema analipwa mamilioni kila wiki na X kutokana na kurasa yenu ya X.
Unakuwa na ubishi wa vijiweni. Chopa ya Chaumma hapa napo inahusika vipi? Au unafurahia kwa sababu mlishirikiana na CCM kuinyima kibali cha kutua Mwanza?
Ki ukweli unaanza kunitia hata uvivu kukujibu maana ni waste of time.
Amandla...
Unaniulizaje kuhusu statistics mlizoweka wenyewe? Nyinyi ndio mnatakiwa mfanye analysis ya kwa nini ni kiduchu hivyo na namna mnavyoweza kuziongeza. Kama kesi ya Mwenyekiti inapata viewers kiasi hicho basi kuna haja ya kubadilisha tactics.Unajitoa ufahamu bure kwa sababu za kijinga tu!
Sasa tueleze wewe maoni yako kwa nini "kesi kama hii", kama unavyoiita inapata 'viewers' hao wachache?
Kwamba waTanzania hawana 'interest' na kesi hiyo kwa vile inamhusu Tundu Lissu?
Unajuwa hilo tangazo la kesi kuonyeshwa mtandaoni limetolewa lini, na taarifa zake zimesambaa kiasi gani huko mikoani?
Nimeweka hayo ya choppa, kwa sababu nilitegemea wewe ungekuwa na ufahamu zaidi juu ya hilo kuliko hii kesi inayomhusu Tundu Lissu; lakini inaonyesha huna jibu juu yake.
CHADEMA imekwisha kwenda na Tundu Lissu. Watu wanaokuhusu tayari wamehamia CHAUMA ili siasa zao zifanikiwe. Wewe huko CHADEMA umesahau kitu gani hadi uendelee kuwa na uchungu nayo kiasi hiki?
Labda hivyo, afanye wepesi tena?Mungu fanya wepesi katika maajabu yako
Kwa sababu umezijibu. Ina maana umeelewa usahihi wake.Unaniulizaje kuhusu statistics mlizoweka wenyewe? Nyinyi ndio mnatakiwa mfanye analysis ya kwa nini ni kiduchu hivyo na namna mnavyoweza kuziongeza. Kama kesi ya Mwenyekiti inapata viewers kiasi hicho basi kuna haja ya kubadilisha tactics.
Hausomi lakini hauishi kuzijibu! Unafik ni ugonjwa mbaya sana. I could not resist that. Na kingine ni kuwa you just don't realize how stupid you sound kujibishana na mtu anayejiita Fundi Utumbo. Lakini, well, you can't help it kwa sababu " stupid is as stupid does". Kwaheri. Na sasa hivi I really mean it. Sitakujibu tena.Kwa sababu umezijibu. Ina maana umeelewa usahihi wake.
Nilisha kueleza mara kadhaa, huwa sisomi magazeti humu; hasa yakiwa ni takataka tupu kama unazozijaza humu. JF.
Pia elewe Watanzania wangapi wana ''afford'' live streaming! Kwa takwimu hizo hizo baada ya wiki 1 utaona eneo linalorekodi kama You Tube inaweza kupita 100K unaosema.Hizi statistics wala msingeziweka hadharani.
Katika nchi yenye raia zaidi ya milioni 60, mlipaswa kuwa na viewers sio chini ya 100,000 katika channel moja. Hao ukijumlisha wote hawafiki hata 50000.
Amandla...
Ukiwaambia PM wa Kwanza alikuwa Nyerere watakucheka sana! UVCCM ni tofauti na TANU youth League..uvCcm hata hawajui taarifa hizo.
Sijui hata 1/5 kama ipo!!!..nina hakika hata Mama Abduli hana uelewa wa wapi taifa letu limetoka kijamii, kiuchumi, kisiasa, na kikatiba, ukimlinganisha na wapinzani kama Lissu, Othman Masoud, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, Ismael Jussa, na wengine.
KIKAO CHA THELASINI NA SABA.Compare and contrast
View attachment 3353535
View attachment 3353536
Unadhani hao 72 ni nani? Wataje
- Luca Muosha mbwa
According to the latest report by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), as of December 2024, there were 25.4 million smartphone users, equivalent to 35.9 per cent, up from 33.8 per cent as recorded in September last year. Hii ni ya 2025.Pia elewe Watanzania wangapi wana ''afford'' live streaming! Kwa takwimu hizo hizo baada ya wiki 1 utaona eneo linalorekodi kama You Tube inaweza kupita 100K unaosema.
JokaKuu
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi za jinai zinazomkabili ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
Lissu ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa International Democrat Union (IDU) anakabiliwa na kesi mbili mbele ya Mahakimu wawili tofauti.
Makama Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alivyotinga kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na MaendeleoCHADEMA. Wilbroad Slaa akiingia katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufuatilia kesi zinazomhusu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu
Godbless Lema awasili ndani ya chumba cha Mahakama, ulinzi waimarishwa.
Ulinzi mkali umetawala katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati wa kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu
View attachment 3353285Dakika 11 za wakili Peter Kibatala akijibu hoja za mawakili wa serikali waliosema lissu ametukana ndani ya mahakama kwa kusema 'No reforms No election'
Askofu Mwamakula akiongoza maombi ndani ya chumba cha Mahakama
View attachment 3353365
==========================================
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Juni 16, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mahakama imempa onyo kali kwa kutamka kauli ya "No reform, no election" bila ruhusa akiwa ukumbini, ikitafsiriwa kama dharau kwa Mahakama.
Lissu anadaiwa kutoa maneno ya uchochezi Aprili 3, 2025 jijini Dar es Salaam, akihamasisha kuzuia Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kumshinikiza kiongozi wa serikali.
Tofautisha kuwa na smartphone na kutumia smatphone. Uki itumia kwa wiki katika mwezi unapoweka bundle unahesabika una smartphone. Kwani ni mara ngapi unasikia ''nilizima data''Namba hazitoshi bila analysis. Pili, kuna wenye smartphone 2 au 3, kusema watu milioni 25 unahitaji kujiridhisha.According to the latest report by Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), as of December 2024, there were 25.4 million smartphone users, equivalent to 35.9 per cent, up from 33.8 per cent as recorded in September last year. Hii ni ya 2025.
Kwahiyo unamlaumu nani kwa hali hiyo!Katika watu 25.4 million ni watu 50,000 tu ndio walio bother ku tune in. Ukweli ni kuwa watanzania would rather tune in to Mange au derby kuliko anything political.
CCM wana milioni 13 kwa mujibu wa mwenyekiti , wangapi wali tune kufuatilia Mkutano Mkuu ?Hata wakifika 500,000 itakuwa bado ridiculous, especially considering your claim that you have millions of members in Tanzania.
Unashindwa kuelewa ''political landscape'' ya Tanzania. Huwezi kulazimisha watu ku stream! ni suala la uchumi. Si uliwahi kumsikia Mh Lema akisema '' Anaomba Mungu vilabu vya Simba na Yanga vife kwasababu vimefanya watu wasijatambue'' . Unachosema mbona kinajulikana, Watanzania wata angalia ugomvi wa kuku kuchi , siasa wanakuambia si yao. Unategemea milioni 60 upate kama 30M! fikiria tenaThey should be a wake up call. Sasa hivi watu wenu wanatakiwa kuwa wanapitia hizo figures na kuangalia namna gani ya kuzipandisha.. You are your own worst enemy.