Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mimi nina sera ya "An eye for an eye"! Mtu akinitukana nami natukana. Ukijenga hoja, nami najenga hoja. Ukinishinda kwa hoja, nakubali! Hivyo tu!Mbona unatukanwa sana?
Mimi nina sera ya "An eye for an eye"! Mtu akinitukana nami natukana. Ukijenga hoja, nami najenga hoja. Ukinishinda kwa hoja, nakubali! Hivyo tu!Mbona unatukanwa sana?
Kwikwikwikwikwi. Umekula za mbavu.upuuzi mtupu!
Duuu.Nachojua wazungu ndiyo walimwambia aende kwenye siasa, mwenyewe alitaka kuwa padre
Utaingia tu kwenye mfumo. Si unajifanya umenitenga!Wewe unataka uzi uanze kunuka hapa
Nisamhe mi natania bana..Utaingia tu kwenye mfumo. Si unajifanya umenitenga!
Saivi naanza vita na wewe mpaka uombe poo.
yaani mpaka utubuNisamhe mi natania bana..
Hapa nakutania tuu
Hizi statistics wala msingeziweka hadharani.Namba za wafuatiliaji wa hii KESI online kupitia Youtube ZINATISHA.
MAHAKAMA: 15K viewers
Mwanzo TV : 1.4K viewers
Mwananchi Digital: 1K viewers
millard Ayo : 17K viewers
Jambo TV : 670 viewers
Zamaradi TV: 630 viewers
#FreeTunduLissuNow
Makange na Baghdellah walifungwa miezi 6 kila mmoja. Nyerere alitaka kugoma kulipa fine lakini John Rupia na wenzake wakamlipia...Mwalimu Nyerere alishtakiwa na kuhukumiwa katika kesi ya uchochezi. Badala ya kutumikia kifungo Tanu walimsaidia akalipa faini.
..Nadhani washtakiwa wenzake Robert Makange, na Mohammed Baghdele walitumikia vifungo.
..Ngoja tumuite Mohamed Said atueleze details za kesi ya uchochezi dhidi ya Mwalimu Nyerere na wenzake.
Cc Nguruvi3
Nasikia Lissu kusema No Reforms No Elections wanadai kaitukana mahakamaUkiona unatusi watu kwa mambo kama haya jua ni tabia tu na tukio ni kisingizio.
AhahahahHakimu kasema kwa kuwa alishakaa kwenye kiti chake cha uhakimu, haikuwa sahihi Lissu kutamka No reforms No election!
Makange na Baghdellah walifungwa miezi 6 kila mmoja. Nyerere alitaka kugoma kulipa fine lakini John Rupia na wenzake wakamlipia.
Amandla...
Nimetubu sasa...yaani mpaka utubu
Unasikitisha sana, hata kukomalia jambo kama hili.Hizi statistics wala msingeziweka hadharani.
Katika nchi yenye raia zaidi ya milioni 60, mlipaswa kuwa na viewers sio chini ya 100,000 katika channel moja. Hao ukijumlisha wote hawafiki hata 50000.
Amandla...
Sheria na haki jinai kipi kinatambulika kama sheria ya bunge??upelelezi haujakamilika
kwani Haki Jinai inasemaje kama Upelelezi haujakamilika?
Sababu anajiamini...
Yaniii! Anayempa kiburi atakuwa ana nguvu si za nchi hiiSababu anajiamini...