Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
MikikimikikiMimi ndo napenda sana vitu kama hivi, Kila la kheri Lissu.
MikikimikikiMimi ndo napenda sana vitu kama hivi, Kila la kheri Lissu.
Ukombozi gani unaouzungumzia ndugu? nchi ilishakombolewa na Mwl Nyerere hii. Samia mitano tena! hutaki hamia Kongo
mwangi ni mgonjwa sana,Mwenye updates ya activists Toka nje ya nchi tupeane hasa hapo viwanja vya mahakama
Taarifa zao zipo Nyumba nyeupe nenda pale watakuelezaMwenye updates ya activists toka nje ya nchi tupeane hasa hapo viwanja vya mahakama kisutu
Ni ngumu sana haki kutendeka, hivi vyombo vya kusimamia sheria havina tofauti na Body ya Leageu na Marefa wao.Kila lenye heri kwa mpenda haki Tundu Antipasi Mghwai Lissu
Kuandika uhaini hadi ufundishwe? Kweli ukiwa CCM unakuwa empty set kichwani.Uhaini ni nini?
Wewe unataka uzi uanze kunuka hapaTaarifa zao anazo DIVISHENI FOO.
Amemtuma ripata wake makini Bichwa KOMWE kule.
Halafu mtu huyo huyo utakuta anashabikia kuwa Lissu ni "mhaini".Kuandika uhaini hadi ufundishwe? Kweli ukiwa CCM unakuwa empty set kichwani.
Kama huna bando hiki ulichoandikq hapa umetumia simu ya Mzee wassira?Mkuu kuna watu wanaandikaga yale majibizano vipi hakuna aliyefanya hvo na sisi ambao hatuna tv wala mabando
Mkuu sina bando la kucheki video..Kama huna bando hiki ulichoandikq hapa umetumia simu ya Mzee wassira?
Ukiona unatusi watu kwa mambo kama haya jua ni tabia tu na tukio ni kisingizio.Mkuu sina bando la kucheki video..
Tunapoelekea tutatukanana