PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Screenshot 2025-06-02 at 1.04.06 PM.png
 
Kweli nimeamini kuwq sheria ni msumeno.
Lissu yuko kizimbani, hakuna aliye juu ya sheria, tunacho takiwa tujifunze kuheshimu sheria za nchi. hakuna aliye juu.
Viongozi wengi maarufu duniani walipambana na kesi zaidi ya hii. Mwl. Nyerere, Mandela nk. Majuzi Trump, Hichelema nk. Hivyo, sioni ajabu.
 
Kweli nimeamini kuwq sheria ni msumeno.
Lissu yuko kizimbani, hakuna aliye juu ya sheria, tunacho takiwa tujifunze kuheshimu sheria za nchi. hakuna aliye juu.
Ushauri huu wauone watekaji, wauwaji na wanaotumia vibaya madaraka/vyeo yao vibaya
 
hupo dunia gani mkuu
Wenye akili wote wameona. Mtu mmoja kutoka Serikalini kawapiga watu 30 kwa points mbili tu. Nilishangaa Mwanasheria msomi anaongelea issue ya jaji mkuu kuongea kuhusu Upelelezi ufanyike kwanza ndio mshitakiwa akamatwe.

Nshara anatoa hoja ya kuwa kesi ifutwe wakati kesi bado hata haijafunguliwa.
Nshara anataka upelelezi unaofanyiwa kazi na Upande wa Jamhuri utajwe Mahakamani.
Angalau mtu ambaye aliyekuwa anonesha uhai upande wa utetezi zi Kibatala tu

Nshara mihemko mingi na misemo kibao ya kwenye biblia huku hataji kifungu chochote kutoka kwenye sheria.

Natamani Mahakama iendelee kuonesha Live ili tuone wapi panavuja

Jamaa wa Jamhuri yupo vizuri sana
 
Tunapoteza muda na rasilimali nyingine kwa mambo ya hovyo. Hao askari na hiyo mitutu wangeweza kuwa wanafanya mambo mengine.
 
Back
Top Bottom