Kesi ya Uhaini: Lissu amalizia majumuisho Mahakamani - 24/9/2026

Hii sasa ni dalili ya roho iliyojaa kutu na tamaa ya kuwa shetani kuliko shetani mwenyewe.
 
"Jaji anasema tulia kidogo.

Mhe. Lissu anasema nina haki ya kukasirika nimekaaa gerezani kwa mwaka mzima na nusu, niache nizungumze" 😆

Mwamba ameamua kutema nyongo yote. Hakika Majaji wanastahili kabisa kukuna vichwa. Kwenye hii kesi serikali haibebeki.

Policcm nao wameshambuliwa vibaya! "Ushahidi unafanana kama sare zao!! Nonsense...nonsense kabisa" 😄
 
mbona unawasemea majaji? ni haki yake kujitetea na upande wa mashtaka utapewa nafasi ya kwasilisha hoja zao majaji watapima, haya mnayosema mnaanza kujiandaa kuwakosoa majaji hukumu ikiwa tofauti na matarajio yenu. Ulitegemea lissu asemeje tofauti na anayoyasema? istoshe hayo ni majumuisho na kwann anaona asihukumiwe upande wa mashtaka nao watasema kwann afungwe kuweni na subira, alipokutwa na kesi ya kujibu pia mlipiga kelele lkn wote tumejione kilichoendelea.
 
Unahangaika sana kumtetea lissu lkn haiwezekani lissu kajitakia mwenyewe na alisema atakamatwa atawekwa ndani atashtakiwa kwa uhaini kwahiyo alijua kabisa anachokifanya kwa serikali makini isingeweza kumuacha, istoshe yupo mahakamani anajitetea kama hana hatia ataaciwa kama anayo atanyongwa, hao mbwa mwitu wapi walisababisha vurugu? huyo aliyesema atakata watu vichwa alimkata nani? sasa nenda kwahuyo aliyesema atavuruga uchaguzi hukuona walishaanza kuvuruga serikali makini ikawawahi.
 

Ata kuku ukishamchinja ukimwachia lazima atapetape au kupapalika
Lissu yupo kwenye nyakati ngumu na vile mwenyewe ni Mwanasheria patamu zaidi kashajua kifungo kipo mbele yake💪💪💪

Kina wengine watasikitika lkn wataenda nyumbani majumbani mwao Lissu ataenda kuuvaa U Nelson Mandela 🫎
 
Ahsante Waufukweni.
Tunahabarika.
Saa 9 sasa. Lete updates baada ya short break
 
Michadema inapenda kumuona Tundu Lissu kama Nelson Mandela

Nayeye Lissu mwenyewe mara nyingi upenda kunukuu maneno ya Nelson Mandela

Sasa U Nelson Mandela wawe tayali kufungwa kwa Lissu japo miaka 20+
Ili nasisi Tanzania tuwe na Mandela wetu 💪
 
Mala = Mara
 
Miaka 25 tu tukichanganya na hii yasasa yupo Lupango inatosha kutuheshimisha kama Taifa 🫎💪
 
Katika namna nimejifunza na naendelea kujifunza ni namna ya kutenganisha HISIA na AKILI
 
Majaji ni wa CCM , vilaza wakubwa. Wanasema mtu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria? Machawa ya CCM kama yule Jaji Augustino aliyepindisha Suala la mgombea binafsi.
 
Mtoto wa shehe. Nina sinia mbili za ubwabwa. Njoo inbox
 
Mtoto wa Shehe. Achana na michadema. Njoo inbox nina ubwabwa na tende
 
NAongezea hapo, wakamshirikisha na wasira nae akatia neno basi wakashabikia woooote! MAZAMWAMWA kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…