Kesi ya Uhaini: Lissu amalizia majumuisho Mahakamani - 24/9/2026

Majaji ni wa CCM , vilaza wakubwa. Wanasema mtu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria? Machawa ya CCM kama yule Jaji Augustino aliyepindisha Suala la mgombea binafsi.

Sasa kesi tupeleke kwa Jaji Warioba auβ—οΈπŸ«ŽπŸ«ŽπŸ«Ž
 

Na huyu watu kupotea alikamatwa?
 
Mimi nabaki pale pale, mahakama zetu zinaongozwa na majaji wasio na uwezo. Unawezaje kusema mtu ana kesi ya kujibu wakati Kuna shida kwenye hati ya mashtaka na preliminary objection ilikuwa raised majaji wa CCM wakadai kesi iendelee. Leo ndio wanajifanya kutoa macho.
 
Aliandaa kikosi Cha uhaini kama chui weusi sio

Umaskini na roho mbaya haviachani sana
 
Miaka 25 tu tukichanganya na hii yasasa yupo Lupango inatosha kutuheshimisha kama Taifa 🫎πŸ’ͺ
Angalia yasikirudie wewe. Fualtilia mwisho wa Magufuli, Polepole na Ndugai
 
Ripoti ya Chande ilimtaja TAL au CHADEMA ndiyo waliosababisha vurugu? Rais wako si alisema wageni ndiyo walioleta vurugu au umesahau? Si alisema kuna vijana walilipwa elfu 5 na elfu 10 kuleta vurugu?
 
Umaskini wako hujaletewa na Lisu
Waulize wenzako miaka 60 waliongoza adui umaskini imewashinda ?
 
Nilichokiona hivi karibuni ni askari wa magereza kupunguza hostility dhidi ya Tundu Lisu kama ilivyokuwa mwanzo
 
Wewe ni maskini kuanzia akili
 
Mbona kama umeumia hivi! Kosa liko wapi kwenye kunukuu hayo maneno?
 
Jaji Ndunguru: Unahisi kumaliza leo?
Kama Jaji ataahidi kuwa aliyokwishawasilisha Lissu yanatosha kufanya uamzi wa kumwachia huru, aseme ili isiwepo sababu ya kuendelea na hayo yaliyobakia.

Vinginevyo, hakuna sababu kabisa ya kumharakisha kutetea u-'innocent' wake.

Kama angekuwepo mtu mwenye haraka kumaliza kesi ni mshtakiwa mwenyewe ili awe huru.
 
Kama wanywa mbege wale Wamama
wanalia tu maneno yq Lissu bado hajapewa Hukumu

Siku ya kupewa Hukumu
Sijajua Mahakama
imejipanga vipi ❗️

yumkin kunapaswa kuwe na Ambulance pale
Mahakamani ❗️

wale Wamama wakichaga wataoga vumbi na kuzima pale
pale 🫎🫎🫎🫎🫎

ili litazamwe kabisa au
Lah kinamama wabaki mbali na Mahakama
Mahakama itegeuka
msiban 😭😭i πŸ˜‡

Akili za Chadema wanaweza kuwapanga Wamama
maksus kwa kilio kuwafikishia Ujumbe Wazungu wao wakapeleka kwao kwamba
Wananchi wanalia 🫎🫎

Vyombo usika vijipange
mapema kuzuiya Cenema ya kitapeli ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…