minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
mkuu funguka zaidi kuhusu huyo zacharia hanspope, alifanya nini sana hadi wakataka wam arrest.
Yeye ndiyo alikuwa kapangwa awe Rais pindi wakipindua Serikali, kilichomwokoa ni kubadili njia ya kupita ambayo akina Apson na Vijana wake walikuwa wameweka mitego yao lakini alikuja kukamatwa baadae na kaka yake ambaye pia walikuwa pamoja kwenye hizo njama za kumpindua Nyerere wakafungwa wote hadi mwinyi alipokuja kuwaachia kwa shinikizo la marehemu Mandela ambaye alikuwa hataki kusikia wafungwa wa kisiasa wakibakia gerezani popote zilipo Nchi rafiki wa South Africa.