Kati ya makomandoo wa kujivunia tuliokuwa nao ni Tamim na Mahafoudh huyu alihusishwa na mauaji ya Karume lakini Marehemu Samora alimuomba sana Nyerere asimuweke kizuizini ampe yeye kwa kua anamuelewa umuhimu wake,ndipo Mahafoudh akapelekwa Msumbiji
Na Ili Uone Kuwa Huyo Mahfoudh Alikuwa Balaa Marehemu Samora Machael ( Aliyekuwa Rais Wa Msumbiji ) Alimjengea Nyumba Pembezoni Tu Mwa IKULU Ya Msumbiji Ambayo Kama Sijakosea Hadi Leo Familia Yake Ipo Hapo Hapo. Tanzania Tuna VIPAJI Vya WAPIGANAJI Na MAJASUSI WALIOTUKUKA.
Nakumbuka mkewe alikua Nalaila Jidawi kuna wakati alikua mbunge wa Cuf Zanzibar,ila kule Msumbiji alioa mwanamke mwingine
humu watu wote wanamtaja marando ndo alimaliza shughuli,huyo simba n nan?
Hadithi ni nyingi kuliko ukweliHii habari watu wanasema ina thread yake huku....anaeifaham atoe jina la thread au link yake!!!
Ni kitu muhimu nadhani imepita 30 yrs hivyoo hi habari haiwezi kuwa threat kwa Usalama wa nchi!.
Hapa inakuwa kma historia tu!
Tupatie basi huo ukweli swahiba?Hadithi ni nyingi kuliko ukweli
hizi sidhani kama zina ukweli wowote ni stori za gogo vivu kariakoo. Na hapo kulikuwa na stori mpaka za Nyerere kuwa na mashamba ya miwa CUBA. Hizi nyeti kutoka ni vigumu sana maana jamaa walikua wasiri sana, watu walistukia tu Tamimu aliporestishwa in peace na kina mabere nyaucho marando.funguka zaidi mkuu,mchonga alikubaliana na hayo makubaliano maalum ama?
Sio Tanzania, Kama kitabu Tu kilizuiwa sembuse movie? Labda ukashoot njeDamn im so happy hivi tunawwza fanya movie ya hii kitu
Kabla ya Tamimu kuuwawa alikua anatafutwa combat intelligence kwa kuasi jeshi akiwa vitani Uganda
Hapana familia ya kanal mahfoudhi iko Zanzibar ..japo mahfoudhi alifia na kuzikwa msumbiji ...inasemekana mahfoudhi ndo comandoo mkali kuwahi kutokea tz..cjui wanaosema hvyo wako sasa au lahNa Ili Uone Kuwa Huyo Mahfoudh Alikuwa Balaa Marehemu Samora Machael ( Aliyekuwa Rais Wa Msumbiji ) Alimjengea Nyumba Pembezoni Tu Mwa IKULU Ya Msumbiji Ambayo Kama Sijakosea Hadi Leo Familia Yake Ipo Hapo Hapo. Tanzania Tuna VIPAJI Vya WAPIGANAJI Na MAJASUSI WALIOTUKUKA.
Duh umemsifia sana lakini hujasema kikubwa alichofanya mpaka amzidi Che Guevara au Carlos?Japo Walimuua Lakini Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere ALIWALAUMU KULIKOTUKUKA Kwanini Walimtoa UHAI Kwani Kama Sijakosea Huyu Marehemu KOMANDOO TAMIMU Ndiyo Chachu Ya Watanzania Wengi ( Wanajeshi Wetu JWTZ / TPDF ) Kupewa KIPAUMBELE Na UMUHIMU Mkubwa Kwenda Kufanya KOZI Ya UKOMANDOO Kwa Wanaojua Nchini Cuba. Kazi Aliyoifanya TAMIMU Pale Uwanja Wa Ndege Wa Zamani Wakati Rais Fidel Armando Castro Alipotua Na Kumtaka Nyerere AMTAFUTE ASKARI WAKE ANAYEMWAMINI Ili Ampime Ndiyo Ilimfanya Marehemu Komandoo TAMIMU Akubalike Na Apendwe Na Mzee Castro Hadi AKAMWOMBA Nyerere AMPE Afande TAMIMU Tu Kwa MAKUBALIANO MAALUM. Kwa WALIOMJUA Afande KOMANDOO TAMIMU Huyu Jamaa ALIKUWA Ni Zaidi Ya Akina Carlos The Jackal Na Che Guavara Huku Akitaka Kumkaribia FIELD MARSHAL Mwenyewe Rais Mstaafu Wa Cuba Mzee Castro.
Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
Labda tuwapelekee Bongo movie waifanyie kaziDamn im so happy hivi tunawwza fanya movie ya hii kitu
Hapo gogo ndio kuna story hizo kweli tuelekeze tukapate vyanzo vya habarihizi sidhani kama zina ukweli wowote ni stori za gogo vivu kariakoo. Na hapo kulikuwa na stori mpaka za Nyerere kuwa na mashamba ya miwa CUBA. Hizi nyeti kutoka ni vigumu sana maana jamaa walikua wasiri sana, watu walistukia tu Tamimu aliporestishwa in peace na kina mabere nyaucho marando.