Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

Kati ya makomandoo wa kujivunia tuliokuwa nao ni Tamim na Mahafoudh huyu alihusishwa na mauaji ya Karume lakini Marehemu Samora alimuomba sana Nyerere asimuweke kizuizini ampe yeye kwa kua anamuelewa umuhimu wake,ndipo Mahafoudh akapelekwa Msumbiji
 
Na Ili Uone Kuwa Huyo Mahfoudh Alikuwa Balaa Marehemu Samora Machael ( Aliyekuwa Rais Wa Msumbiji ) Alimjengea Nyumba Pembezoni Tu Mwa IKULU Ya Msumbiji Ambayo Kama Sijakosea Hadi Leo Familia Yake Ipo Hapo Hapo. Tanzania Tuna VIPAJI Vya WAPIGANAJI Na MAJASUSI WALIOTUKUKA.
 
Hii habari watu wanasema ina thread yake huku....anaeifaham atoe jina la thread au link yake!!!
Ni kitu muhimu nadhani imepita 30 yrs hivyoo hi habari haiwezi kuwa threat kwa Usalama wa nchi!.
Hapa inakuwa kma historia tu!
 
Nakumbuka mkewe alikua Nalaila Jidawi kuna wakati alikua mbunge wa Cuf Zanzibar,ila kule Msumbiji alioa mwanamke mwingine
 
Hii habari watu wanasema ina thread yake huku....anaeifaham atoe jina la thread au link yake!!!
Ni kitu muhimu nadhani imepita 30 yrs hivyoo hi habari haiwezi kuwa threat kwa Usalama wa nchi!.
Hapa inakuwa kma historia tu!
Hadithi ni nyingi kuliko ukweli
 
funguka zaidi mkuu,mchonga alikubaliana na hayo makubaliano maalum ama?
hizi sidhani kama zina ukweli wowote ni stori za gogo vivu kariakoo. Na hapo kulikuwa na stori mpaka za Nyerere kuwa na mashamba ya miwa CUBA. Hizi nyeti kutoka ni vigumu sana maana jamaa walikua wasiri sana, watu walistukia tu Tamimu aliporestishwa in peace na kina mabere nyaucho marando.
 
Kabla ya Tamimu kuuwawa alikua anatafutwa combat intelligence kwa kuasi jeshi akiwa vitani Uganda

..kuna utetezi kwamba alikuwa assigned kumlinda prof.yussuf lule na kwamba wakubwa wake jeshini walikuwa na taarifa zake.
 
Na Ili Uone Kuwa Huyo Mahfoudh Alikuwa Balaa Marehemu Samora Machael ( Aliyekuwa Rais Wa Msumbiji ) Alimjengea Nyumba Pembezoni Tu Mwa IKULU Ya Msumbiji Ambayo Kama Sijakosea Hadi Leo Familia Yake Ipo Hapo Hapo. Tanzania Tuna VIPAJI Vya WAPIGANAJI Na MAJASUSI WALIOTUKUKA.
Hapana familia ya kanal mahfoudhi iko Zanzibar ..japo mahfoudhi alifia na kuzikwa msumbiji ...inasemekana mahfoudhi ndo comandoo mkali kuwahi kutokea tz..cjui wanaosema hvyo wako sasa au lah
 
Japo Walimuua Lakini Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere ALIWALAUMU KULIKOTUKUKA Kwanini Walimtoa UHAI Kwani Kama Sijakosea Huyu Marehemu KOMANDOO TAMIMU Ndiyo Chachu Ya Watanzania Wengi ( Wanajeshi Wetu JWTZ / TPDF ) Kupewa KIPAUMBELE Na UMUHIMU Mkubwa Kwenda Kufanya KOZI Ya UKOMANDOO Kwa Wanaojua Nchini Cuba. Kazi Aliyoifanya TAMIMU Pale Uwanja Wa Ndege Wa Zamani Wakati Rais Fidel Armando Castro Alipotua Na Kumtaka Nyerere AMTAFUTE ASKARI WAKE ANAYEMWAMINI Ili Ampime Ndiyo Ilimfanya Marehemu Komandoo TAMIMU Akubalike Na Apendwe Na Mzee Castro Hadi AKAMWOMBA Nyerere AMPE Afande TAMIMU Tu Kwa MAKUBALIANO MAALUM. Kwa WALIOMJUA Afande KOMANDOO TAMIMU Huyu Jamaa ALIKUWA Ni Zaidi Ya Akina Carlos The Jackal Na Che Guavara Huku Akitaka Kumkaribia FIELD MARSHAL Mwenyewe Rais Mstaafu Wa Cuba Mzee Castro.
Duh umemsifia sana lakini hujasema kikubwa alichofanya mpaka amzidi Che Guevara au Carlos?
 
Humu kuna wenye akili sana....ntakuwa napata habari hizi A kiintelijnsia maana ndio nazipenda......mimefurahi kujua kuhusu mabere na hans pope
 
hizi sidhani kama zina ukweli wowote ni stori za gogo vivu kariakoo. Na hapo kulikuwa na stori mpaka za Nyerere kuwa na mashamba ya miwa CUBA. Hizi nyeti kutoka ni vigumu sana maana jamaa walikua wasiri sana, watu walistukia tu Tamimu aliporestishwa in peace na kina mabere nyaucho marando.
Hapo gogo ndio kuna story hizo kweli tuelekeze tukapate vyanzo vya habari
 
Sisi wengine ni vijana ambao hatujui mengi khs Tz.Hanspop Huyu huyu?
 
alikuwa kwenye gari lilobeba kreti za bia ama za soda aina ya Pepsi huyo Kamando Tamimu?
 
Back
Top Bottom