Kesi ya uhaini wa "Tundu Lissu vs Jamhuri" na "Uhaini wa Shadrack, Meshack & Abednego vs Jamhuri ya Babel chini ya Mfalme Nebukadneza" (Daniel 3:1-30)

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
➡Kwa msomaji mzuri wa Biblia anaikumbuka kesi hii maarufu iliyorekodiwa ktk kitabu kitakatifu - Neno la Mungu (Biblia) katika kitabu cha Daniel sura ya 3 mstari wa 1 - 30...

➡Ofcoz ni kesi iliyojengwa ktk msingi wa sheria mbaya na ovu dhidi ya wenye HAKI. Maofisa serikalini (i .e mawaziri, wabunge, maliwali - wakuu wa wilaya, mikoa na majimbo, makatibu wakuu wa wizara nk) wala rushwa, wezi na mafisadi ndani ya serikali ya Babel chini ya mfalme Nebukadneza hawakutaka wala kupenda maoni kinzani yenye mrengo wa kuikosoa serikali yao....

➡Wakakaa na kubuni njia ya kunyamazisha sauti hizi. Wakamshauri mfalme aridhie na kusaini sheria mbovu na ovu. Pasipo kujua, mfalme Nebukadneza akaisaini sheria hiyo "sheria ya wakaldayo". Lengo la sheria hiyo lilikuwa kuwanasa watu wa sampuli ya vijana hawa watatu wacha Mungu na wenye HAKI, (Shadrack, Meshack & Abednego)

➡Hatimaye serikali ya Babeli chini ya viongozi waovu ilifanikiwa kuwanasa vijana hawa na kuwafungulia kesi kama inavyooneshwa hapa chini👇🏻👇

===============================================
MLALAMIKAJI/MSHITAKI: Mwendesha mashitaka wa serikali ya Babeli

WASHITAKIWA: Vijana watatu wacha Mungu, wapenda haki na amani ambao ni Shadrack, Meshack na Abednego..

SHITAKA (KOSA):
Ni Kukataa kutii ili iliyoitwa "amri halali ya mfalme" Nebukadneza ya kuabudu sanamu aliyoitengeneza ktk ufalme wake na kwamba kila itolewapo amri, basi wananchi wote lazima wainame kuisujudu na kuiabudu sanamu hiyo..

ADHABU YA KOSA: Kutupwa katika tanuru la moto wa gesi waungue hadi wafe..

Sasa Soma maelezo ya kesi yenyewe kama ilivyoandikwa ktk Biblia yako kitabu cha Daniel (Agano la Kale)👇🏻👇🏻👇🏻

Daniel 3:1-30 SUV​

Nebukadreza, mfalme, alifanya sanamu ya dhahabu, ambayo urefu wake ulikuwa ni dhiraa sitini, na upana wake dhiraa sita; akaisimamisha katika uwanda wa Dura, katika wilaya ya Babeli. Ndipo Nebukadreza akatuma watu kuwakusanya maamiri, na manaibu, na maliwali, na makadhi, na watunza hazina, na mawaziri, na mawakili, na wakuu wa wilaya zote, ili wahudhurie wakati wa kuizindua ile sanamu, mfalme Nebukadneza aliyoisimamisha. Ndipo maamiri, na manaibu, na maliwali, na makadhi, na watunza hazina, na mawaziri, na mawakili, na wakuu wa wilaya zote, wakakusanyika ili kuizindua ile sanamu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha; wakasimama mbele ya ile sanamu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha.

Ndipo mpiga mbiu akapiga kelele akisema,

"....Enyi watu wa kabila zote, na taifa, na lugha, mmeamriwa hivi, wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, lazima kuanguka na kuiabudu sanamu ya dhahabu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha. Na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa saa iyo hiyo katika tanuru ya moto uwakao...."

Basi wakati huo, watu wa kabila zote walipoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, watu wote na mataifa na lugha wakaanguka, wakaiabudu ile sanamu, mfalme Nebukadreza aliyoisimamisha....'

Basi baadhi ya Wakaldayo wakakaribia, wakaleta mashitaka juu ya Wayahudi. Wakajibu, wakamwambia mfalme Nebukadreza;

"..
..Ee mfalme, uishi milele. Wewe, Ee mfalme, ulitoa amri ya kwamba kila mtu atakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, ni lazima aanguke na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu; na kila mtu asiyeanguka na kuabudu atatupwa katika tanuru ya moto uwakao. Wako Wayahudi kadha wa kadha uliowaweka juu ya mambo ya wilaya ya Babeli, yaani, Shadraka, na Meshaki, na Abednego; watu hawa, Ee mfalme, hawakukujali wewe; hawaitumikii miungu yako, wala kuiabudu ile sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha...."

Basi Nebukadreza akatoa amri kwa hasira na ghadhabu, waletwe hao Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Basi wakawaleta watu hao mbele ya mfalme. Nebukadreza akawauliza, akawaambia,

"....Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, je! Ni kwa makusudi hata hammtumikii mungu wangu wala kuisujudia sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha? [15] Basi sasa, kama mkiwa tayari wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zomari, na namna zote za ngoma, kuanguka na kuisujudia sanamu niliyoisimamisha, ni vema; bali msipoisujudia, mtatupwa saa iyo hiyo katika tanuru iwakayo moto; naye ni nani Mungu yule atakayewaokoa ninyi na mikono yangu....?

Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakajibu, wakamwambia mfalme;

".......Ee Nebukadreza, hamna haja kukujibu katika neno hili. Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme. Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha...."

Ndipo Nebukadreza akajaa ghadhabu, na sura ya uso wake ikabadilika juu ya Shadraka, na Meshaki, na Abednego, basi akatoa amri watie moto ile tanuru mara saba kuliko desturi yake ya kutiwa moto. Kisha akawaamuru baadhi ya watu mashujaa wa jeshi lake kuwafunga Shadraka, na Meshaki, na Abednego, na kuwatupa katika ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto. Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto. Basi kwa sababu amri ya mfalme ilikuwa ni kali, na ile tanuru ilikuwa ina moto sana, mwako wa ule moto ukawaua wale watu waliowashika Shadraka, na Meshaki, na Abednego. Na watu hao watatu, Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakaanguka, hali wamefungwa, katikati ya ile tanuru iliyokuwa inawaka moto. Ndipo Nebukadreza akastaajabu, akainuka kwa haraka; akanena, akawaambia mawaziri wake;

".....Je! Hatukutupa watu watatu, hali wamefungwa, katikati ya moto...?"

Wakajibu, wakamwambia mfalme;

"......Kweli, Ee mfalme..."

Mfalme akajibu, akasema;

"......Tazama, mimi naona watu wanne, nao wamefunguliwa, wanatembea katikati ya moto hali hawana dhara; na sura yake yule wa nne ni mfano wa mwana wa miungu..."

Kisha Nebukadreza akaukaribia mdomo wa ile tanuru iliyokuwa inawaka moto. Akanena, akasema;

".....Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watumishi wa Mungu Aliye juu, tokeni, mje huku....."

Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakatoka katika ule moto. Na maamiri, na manaibu, na maliwali, na mawaziri, waliokuwa wamekusanyika pamoja, wakawaona watu hao, ya kuwa ule moto ulikuwa hauna nguvu juu ya miili yao, wala nywele za vichwa vyao hazikuteketea, wala suruali zao hazikubadilika, wala harufu ya moto haikuwapata hata kidogo. Nebukadreza akanena, akasema;

".....Na ahimidiwe Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika wake, akawaokoa watumishi wake waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasimtumikie mungu mwingine, wala kumwabudu, ila Mungu wao wenyewe. Basi mimi naweka amri ya kuwa kila kabila ya watu, na kila taifa, na kila lugha, watakaonena neno lo lote lisilopasa juu ya huyo Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watakatwa vipande vipande, na nyumba zao zitafanywa jaa; kwa kuwa hakuna Mungu mwingine awezaye kuokoa namna hii...."

Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli.

KESI YA TUNDU LISSU ​

MSHITAKI/MLALAMIKAJI: Jamhuri/Serikali ya CCM

MLALAMIKIWA: Tundu Antiphas Mughway Lissu

KOSA: Uhaini!!!!!!????

ADHABU YAKE: Kifo (Kunyongwa hadi kufa)

UCHAMBUZI NA MFANANO WA KESI HIZI MBILI:​

A: KESI YA UHAINI KATI YA:

JAMHURI YA BABELI vs SHADRACK, MESHACK & ABEDNEGO

➡Kwa msomaji mzuri wa Biblia ataelewa kuwa, mashitaka ya hawa vijana watatu yalikuwa ni njama tu zilizosukwa vizuri na maofisa wa serikali ya mfalme Nebukadneza kwa sababu ya chuki waliyokuwa nayo maofisa hao (mawaziri, makatibu wakuu wa wizara mbalmbali, wakuu wa mikoa na wilaya nk) kwa sababu tu vijana hawa ni wapenda ukweli na haki ktk jamii yao ya wakati huo. Vijana hawakuwa wametenda kosa lolote la uhaini lililostahili wauwawe kwa namna ile..

➡Kosa la vijana hawa lililowaudhi watawala wa Babel ni moja tu; Kukataa kutii amri haramu ya mfalme iliyowataka wamwabudu yeye na miungu yake. Msingi wa amri hiyo ni sheria mbaya iliyotungwa kwa nia ovu ya kuwakomoa na kuwanasa wote wasiomtii mfalme iwe kwa jema au kwa uovu...

➡Kwa sababu mfumo wa kisiasa na utawala wa hovyo by then, watu maofisa wa serikali serikali ya Mfalme Nebukadneza walimwendea mfalme na kumpa ushauri wenye nia ovu ndani yake ili aridhie kusaini sheria mbaya na ya hatari wakidhani kuwa itawanasa vijana hawa watatu wasiowapenda ili wafe wasiendelee kuwasumbua na kuharibu deal zao chafu...

➡Haikuwa hivyo, badala yake HAKI ilikuwa upande wa vijana watatu (Shadrach, Meshack & Abednego) kwa kuwa Mungu wanayemtumikia ni Mungu wa HAKI alimndaye yeyote aliye upande wake wa haki....

B: KESI YA UHAINI KATI YA:

JAMHURI/SERIKALI YA TANZANIA vs TUNDU ANTIPHAS LISSU MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA

➡Haina shaka yoyote kuwa Tundu Lissu ni "key figure" katika wote wanaopinga utawala wa uovu wa serikali ya Tanzania chini ya CCM na Rais Samia sasa..

➡Hakuna kosa la uhaini ktk shitaka linalomkabili ila ni njama za muda mrefu za kutaka kuu - intimidate na ku - create fear kwa wote wenye mawazo na maoni kinzani dhidi ya serikali ovu ya CCM...

➡Tundu Lissu akiwa ni kielelezo cha wengi, amekataa kuisujudu na kuibudu sanamu ya CCM na Serikali yao chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na kabla ilikuwa ni John P. Magufuli. Anasema;

".....Sitasujudu wala kuinamia na kuiabudu sanamu (vitisho vilivyojengwa ktk misingi ya sheria mbaya, ovu na kandamizi za serikali ya CCM na Rais Samia Suluhu Hassan). Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi hataweza kuniokoa na hila na mipango yao miovu, basi niko tayari kufungwa jela au wanihukumu kunyongwa mpaka nife..."

➡Hiyo☝🏻☝🏻 kauli thabiti aliyoitoa Tundu Lissu, inafanana na kauli thabiti waliyoitoa vijana wale watatu mbele ya mfalme kusema;

"......Ee Nebukadreza, hamna haja kukujibu katika neno hili. Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme. Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha...."

Sasa tutegemee nini Tanzania?

➡Kwa hakika kabisa, umefika muda wa mabadiliko...

➡Kesi ya kina Shadrack, Meshack na Abednego ktk Babel ya kale ilibadilisha mifumo ya kisheria na utawala entirely katika nchi/ufalme ule...

➡Hopefully, kesi hii ya mwamba Tundu Lissu itabadilisha mifumo na sheria za Tanganyika entirely maana sasa ni wakati wa Mungu kujidhihirisha Tanzania..!!
 
➡Hopefully, kesi hii ya mwamba Tundu Lissu itabadilisha mifumo na sheria za Tanganyika entirely maana sasa ni wakati wa Mungu kujidhihirisha Tanzania..
 
s

sawa
 
Back
Top Bottom