Hahahahaha.....watapatwa FISTULA MBWEHA HAOvya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Yani misamba imechanika kwa kutaga maboga!? Hatari hiyo.Hahahahaha.....watapatwa FISTULA MBWEHA HAO
Utakua mweupe wa sheria lakiniBaada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Kwani hakuna muongozo? Ama ni utashi wa mahakama kupanga tarehe?Sijui ni Kwa kipindi gani itachukua Kwa mahakama kuu kuanza kusikiliza tena kesi, inaweza kuchukua Hadi miezi 3 bila kupangiwa tarehe
Mhh mbona umenenepa sana?
Hata mwaka fresh wanasubiriwa kwani Chadema Wana haraka na nnSijui ni Kwa kipindi gani itachukua Kwa mahakama kuu kuanza kusikiliza tena kesi, inaweza kuchukua Hadi miezi 3 bila kupangiwa tarehe
Kwa kifupi kesi imekwisha! Mahakamani kuu inapaswa kuwapa siku tatu tu wajikanyage kisha itoe hukumu!Sijui ni Kwa kipindi gani itachukua Kwa mahakama kuu kuanza kusikiliza tena kesi, inaweza kuchukua Hadi miezi 3 bila kupangiwa tarehe
How? Amekiri kusema maneno na si kukiri kupindua/uhainiUtakua mweupe wa sheria lakini
mpinge sasa tujue ,lete mana ya kukinukisha na uasi(uvccm usipinge tu)Utakua mweupe wa sheria lakini
msingi wakupindua unaazia wapi kwenye mana za maneno au tafsiri alizotamka au huelewiHow? Amekiri kusema maneno na si kukiri kupindua.
Majaji wote wanatokea ikulu tutegemee danadana zingineKwani hakuna muongozo? Ama ni utashi wa mahakama kupanga tarehe?