Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Siasa ni sayansi,kujatahamaki Oktoba imepita na Mama wa mitano tena yupo kilingeni na ndiyo kesi inaeleweka na kutamatika.
Ikitamatika inakua tena changamoto tena,kila mara polisi wanahenyeshwa,nao ni binadamu wanachoka kuwabebabeva kila mara.
 

..uhaini huwa haufanywi na mtu mmoja.

..TL kwa tabia na rekodi yake ya muda mrefu ni mtu wa kusimamia haki, na sheria.
 
Ni aibu kubwa. Mmi nilisikia nikashangaa.
 
uchaguzi upi. mwaka huu hakuna uchaguzi. HAUPO.

#KATAA WAHUNI#
 
Ndio.kusema.ccm.inamuogopa lisu ili ifanye uchaguzi wao basi sharti lisu awe gerezani? Basi kama Taifa tumepatwa.
 
Nakumbu mh lissu kwenye press ile makao makuu ya chama alisema kwa kumnukuu.


(Kwamba wanasema kuzuia uchaguzi ni uhaini ,jibu ni ndio)

Hapa mweshimiwa aliwapeleka chaka nao wakajaa kibra, sasa ni jamuhuri kudhibitisha kwamba tangu lini kuzuia uchaguzi ni uhaini.

Mwanzo niliandika humu kwamba hii kesi inaweza fika mahala ikaibua hata kura za waliokuwa wagombea wa ccm na kushinda 2020 katika uchaguzi.

Pili mh lissu kwa wasilisho lake la juzi anaweza kumtaka yoyote kuwa shahidi upande wake atakavyoona inafaa, wakiwemo mashahidi wa siri, Mbowe, kigaila, mgombea wa chauma, n.k kwenye list yake ya mashahidi tiyari amewataja watatu (top 3), Tulia pia anaweza kuitwa .

Singinda inaenda kutoa Rais wa nchi hii nje ya ccm ,wanasinginda kesheni kwa kuimba nyimbo za kumtukuza Mungu.

Wanadoria kwenye mitandao ya kijamii mnatakiwa kuanza kutubu ila msikimbie nchi ,hakuna kulipa visasi asema Bwana
 
Nakumbuka kesi ya Jamh
Na mashahidi wa Lissu ni Samia, Majaliwa na Mpango bila shaka wataisaidia mahakama kueleza kuwa maneno ya Lissu yana athari gani kwa Jamhuri ambayo wao ndo viongozi wake.
Jamhuri vs Mtikila ya Mtikila kusema Mwalimu Nyerere alikufa kwa Ukimwi alisema mashahidi wake ni Rais Benjamini Mkapa, VP Omar Ali Juma na PM. Fredrick Sumaye kwani alidai kuwa kauli ya ugonjwa uliomuua Mwalimu ilitowa na Mkapa na pembeni yake wakati akilitqngazia Taifa walikuwepo wasaidizi wake hao hivyo alitaka waitwe mahakamani kuthibitisha na kesi liishia hapo kwa upande wa Mashtaka kuiondoa Mahakamani. Chezea akili kubwa wewe.
 
Na ndiyo maana huyo amir jeshi akaitwa aje ajieleze ni wapi alipokosewa
Ni wakati kama wananchi na wazalendo wa nchi hii ,kuwalinda mashahidi wa mh Tundu lissu kwa wivu mkubwa sana , wapo na jambo la kufanya pale mahakama kuu tz , hatutaki mambo clip bali wafike mahakamani , chadema imezidi kustawi ,hatuna haraka mbele ya Mwana wa Mungu lissu ,

Thanks mawakiri upande wa chama, akiwemo kiongozi Dr Rugemaliza , wote Mungu awape maisha marefu na imekua, nasema hivi hata kama mh lissu anajitetea ila ni imani yangu kikosi chake yuma yake kimejitosheleza
 
Kwa hiyo kama ameshakiri sasa mashahidi wataenda kufanya nini tena kawaida mshitakiwa akishakiri kosa kesi huwa inaishia hapo hapo ila mahakama iandae hukumu.
 
Kwaiyo unataka chadema wafanyeje, kwamba wavunje geteza wakamtoe?

Hata angekua nje Chadema isingeweza kuingia kwenye uchaguzi bila reforms

Acha ujinga tumia akili
 


Yaani hawana hata siri wamejaza watu wa Chauma kwenye ushahidi!!! na tayari watu wanawajuwa wengine
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…