Kesi ya rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila inafunguliwa leo mjini Kinshasa katika mahakama moja ya kijeshi mjini humo. Kabila anakabiliwa na kosa la uhaini, mauaji na mateso yanayofungamanishwa na kundi la waasi analodaiwa kuliunga mkono la M23
Soma pia:
Chanzo: DW
Soma pia:
- DR Congo: Tume yaundwa kujadili ombi la kuondolewa kinga na kukamatwa kwa Joseph Kabila kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la waasi la AFC/M23
- Joseph Kabila adai Serikali ya DR Congo ni ya Kidikteta
Chanzo: DW