Unajuwaje kuwa sikuelewa; na ni kipimo gani umekitumia kujuwa kuwa "hoja yako imeeleweka". Huoni kuwa unachezea maneno bila ya kuwa na maana yoyote?Usichanganye kuelewa na kueleweka. Sina mashaka hoja yangu imeeleweka, changamoto ni ww kuelewa. Kwa kuwa kuelewa ni hatua, na hazilingani kwa wote! Itoshe nikupe muda, kwa wakati wako utanielewa.
Yaleyale ya akina Kigwangala!Comrade, Rais hanihitaji mimi kumtetea, ana akina Mchengelwa kwaajiri ya kazi hiyo. Chapisho langu ni tahadhari tu tusije tukaingia kwenye matatizo kwa kumhusisha mtu na mambo ambayo tukiambiwa tulete ushahidi yatatughalimu. Mwita Waitara anadaiwa 6B, Cipriani Musiba naye aliamuliwa amlipe Member, yote haya yakiwa ni madhara ya kuwahusisha watu na tuhuma ambazo ukiambiwa uzithibitishe unaanza kutoa macho.
Kijana, bado upo mbali sana.Comrade, Pole pole aliwahi kusema, CCM wahuni wapo na ndio wanaotuharibia chama. Kupambana na wahuni sio kazi rahisi au ya mara moja, ni mradi endelevu. Azimio la Arusha na Kujivua gamba ilikuwa ni jitihada za namna hiyo. Tukikimbia CCM kwasababu kuna wahuni wachache tutakuwa tumewapa ushindi. Tupambane nao tukiwa humuhumu mwisho watatuachia chama chetu.
Itoshe tu kusema dunia haijaacha kuzaa wendawazimu.Umejuwaje kuwa sinao huo u-daktari, au hata zaidi?
Mada yako ni ya kinafiki, isiyokuwa na lengo wala uhalisia wa unachokiandika, ndiyo maana ukajibiwa ulivyo jibiwa
Unapokuwa mlaghai, fahamu tu kuwa watu watakuchukulia hivyo hivyo unavyojifanya mwenyewe.
EEEeenHEEeeee!Itoshe tu kusema dunia haijaacha kuzaa wendawazimu.
"Tujiepushe na kutaja watu mahali ambapo hatuna ushahidi. Kwa jinsi UCHAWA ulivyokithiri, upo uwezekano mkubwa wanaoyatenda haya wakawa hawana baraka za Rais."Tujiepushe na kutaja watu mahali ambapo hatuna ushahidi. Kwa jinsi UCHAWA ulivyokithiri, upo uwezekano mkubwa wanaoyatenda haya wakawa hawana baraka za Rais. Ushauri wangu, tuyakemee maovu kwa sura yake. CCM ina watu wema kadhalika na wabaya wachache hawawezi kukosa. Chama chenye wanachama milioni 13 si rahisi kutokuwepo wachache waliokengeuka. Hao tukiwajua na kama kuna ushahidi tunaweza kuwataja. Vinginevyo sio busara kufanya mobb justice. Tunawakosea wana CCM wema.
Jinsi mfalme alivyo ndivyo na watu wake walivyo.Tujiepushe na kutaja watu mahali ambapo hatuna ushahidi. Kwa jinsi UCHAWA ulivyokithiri, upo uwezekano mkubwa wanaoyatenda haya wakawa hawana baraka za Rais. Ushauri wangu, tuyakemee maovu kwa sura yake. CCM ina watu wema kadhalika na wabaya wachache hawawezi kukosa. Chama chenye wanachama milioni 13 si rahisi kutokuwepo wachache waliokengeuka. Hao tukiwajua na kama kuna ushahidi tunaweza kuwataja. Vinginevyo sio busara kufanya mobb justice. Tunawakosea wana CCM wema.
Haya unayoendelea kuyachapisha yanakuvunjia heshma. Ukikakaa kimya utakuwa umejisitiri sana.EEEeenHEEeeee!
Na sasa utakuja na kusema hicho ki-MD ndicho kimekuwezesha kujuwa hali yangu ilivyo!
Wewe uliingia kwenye fani hiyo kimakosa kabisa. Wewe ulitakiwa kuwa kwenye fani ya sanaa, kama alivyo Samia Suluhu Hassan; ambaye sasa hivi unafanya kila liwezekanalo akutambue katika u-malkia wake mnaompigania hapa kuupata.
Hovyo Kabisa!
Hiyo ni zamani sio Sasa.Ni chama cha kijamaa
Hapana. Niliona ni vizuri nikupe taarifa hizo; ukiwa na hekima kidogo utajifikiria na kuona sababu zinazofanya ujibiwe hivyo.Haya unayoendelea kuyachapisha yanakuvunjia heshma. Ukikakaa kimya utakuwa umejisitiri sana.
Uandishi wako "unakera", usivyo kuwa 'sincere', unavyoonekana kujaa unafiki; unavyo jichanganya wenyewe. Hauna uhalisia wowote, bali ni wa hadaa tu, kama ilivyo kwa Samia na mambo yake mengi; kama zile $Rs, na maigizo mengi mengine.Aidha kila mara, sio leo tu nimekuwa nikiandika kuhusu haki za kiraia, haki za binadamu na umuhimu wa demokrasia. Haya mambo wewe yanakukera nini?
Unaanzaje kuwataja, wewe unadhani watu milini 60 wote hawawajui wanaotenda hayo maovu??Tujiepushe na kutaja watu mahali ambapo hatuna ushahidi. Kwa jinsi UCHAWA ulivyokithiri, upo uwezekano mkubwa wanaoyatenda haya wakawa hawana baraka za Rais. Ushauri wangu, tuyakemee maovu kwa sura yake. CCM ina watu wema kadhalika na wabaya wachache hawawezi kukosa. Chama chenye wanachama milioni 13 si rahisi kutokuwepo wachache waliokengeuka. Hao tukiwajua na kama kuna ushahidi tunaweza kuwataja. Vinginevyo sio busara kufanya mobb justice. Tunawakosea wana CCM wema.
Hilo ni kweli lkn wasemee wapi, kila mtu kafungwa miguu na mikono.Sidhani kama kuna siku CCM ilikaa kuadhimia kuwa Tundu Lisu ashitakiwe. Haya ni mawazo ya watu wachache waliopewa dhamana. Wapo wana CCM wengi tu ambao hawakubaliani na haya mambo.
Si wajiondoe ccm kama hawakubaliani na upuuzi huo?Sidhani kama kuna siku CCM ilikaa kuadhimia kuwa Tundu Lisu ashitakiwe. Haya ni mawazo ya watu wachache waliopewa dhamana. Wapo wana CCM wengi tu ambao hawakubaliani na haya mambo.