PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Februari 9 hadi Machi 6, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);

Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.

15 January 2026
Dar es Salaam, Tanzania

TUNDU LISSU TREASON CASE SET TO RESUME FEBRUARY 9, 2026
1768501689142.jpeg

Archive Photo 2025 Tundu Lissu in legal battle

The High Court of Tanzania has scheduled the treason case against opposition leader Tundu Lissu to continue from February 9, 2026, to March 6, 2026, at the Dar es Salaam High Court.

According to Gaston Garubindi, Director of Legal Affairs for the major opposition party in Tanzania, CHADEMA, the case, Criminal Session No. 19605/2025, will be heard by a panel of three judges: Justice D. Ndunguru, Justice J. Karayemaha, and Justice Kiwonde.

Attorney Garubindi confirmed that Tundu Antipas Lissu, who serves as CHADEMA’s national chairperson, received official notification from the Deputy Registrar of the High Court on January 14, 2026.

Mr. Tundu Lissu was arrested on April 9, 2025, during a rally in Mbinga, Ruvuma Region, and has been in custody for 282 days as of January 15, 2026.
 
TOKA MAKTABA 2025

Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu imekuwa ikifuatiliwa na wengi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania
1768501891803.jpeg
 
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na
Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);

Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.

Ikumbukwe kwamba kesi hiyo inasikilizwa na Majaji watatu, Mhe Jaji D. Ndunguru, Mhe Jaji J. Karayemaha na Mhe Jaji Kiwonde.

Tayari Mhe Lissu jana alipokea taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Msajili wa Mahakama kuu.

Soma: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa
Ningekuwa mtawala ningemuogopa Lissu.

Risasi 16 mwilini na bado anaishi huu ni muujiza unaotembea. Ningehofu mwenye kumiliki mbingu na dunia asije akapindua meza .

Labda amekataa kusaini mafekeche, (maokoto) kwa mgongo wa maridhiano.!!!
Ila CCM wanajua kutesa na kunyanyasa haina mfano.
 
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na
Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);

Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.

Ikumbukwe kwamba kesi hiyo inasikilizwa na Majaji watatu, Mhe Jaji D. Ndunguru, Mhe Jaji J. Karayemaha na Mhe Jaji Kiwonde.

Tayari Mhe Lissu jana alipokea taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Msajili wa Mahakama kuu.

Soma: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa
Kutokana na maono toka mbingu. Kabla ya tar hiyo kuna jambo kubwa litatukia.
 
naijua, kuleta maendeleo nchi nzima
Ndoto pekee aliyobaki nayo ni maumivu na mateso yanayomwandama maisha yake yote yaliyobaki.
Kwa nguruwe kama wewe matumaini ya kuendelea kupata masalia toka kwake ndiyo ajenda pekee unayoijuwa.
 
Back
Top Bottom