Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);
Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.
Tapeli, laghai, mwongo; uliwahi lini na wapi kumwona mtu mwenye tabia hizo akiwa na aibu!Mama hana aibu yule!
Nisichokielewa ni kwa nini anajifanya kuwa hivyo, huku watu wakijuwa wazi kuwa ni mnafiki.Huyu mama mnafiki sana na muuaji, Jana anajifanya kuna watu wapo gerezani kwa kusingiziwa wakati yeye ndio anamsingizia Lissu
Ndoto aliyobaki nayo Samia, unaijuwa?ndoto ya kufanya maasi au
Huyu ana msongo wa mawazo anajaribu kujifariji tu, damu za watu zinamtesaNisichokielewa ni kwa nini anajifanya kuwa hivyo, huku watu wakijuwa wazi kuwa ni mnafiki.
Hii tabia inafaida zipi kwake?
Na atateseka kwelikweli kabla hajazimwa.Huyu ana msongo wa mawazo anajaribu kujifariji tu, damu za watu zinamtesa
Kila ubaya utalipwaLISSU anatimiza mwaka mmoja akiwa jela bila kosa.....
Sikuzote MTU mwenye ndoto huwa arudi nyuma Hadi kusudi la MUNGU litimie
naijua, kuleta maendeleo nchi nzimaNdoto aliyobaki nayo Samia, unaijuwa?
Joyce Mukya kumbe upo?Mahakama ilikua likizo na ni utaratibu punguzeni mihemko ya balehe
Wale wachina wa bilioni sita walipelekwa mahakama ya nchi gani isiyokuwa na likizo?Mahakama ilikua likizo na ni utaratibu punguzeni mihemko ya balehe
Ningekuwa mtawala ningemuogopa Lissu.
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na
Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);
Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu, Criminal session case No. 19605/2025 imepangwa kuendelea Mahakama kuu, Kanda ya Dar Es Salaam kuanzia tarehe 09 February 2026 hadi tarehe 06 March 2026.
Ikumbukwe kwamba kesi hiyo inasikilizwa na Majaji watatu, Mhe Jaji D. Ndunguru, Mhe Jaji J. Karayemaha na Mhe Jaji Kiwonde.
Tayari Mhe Lissu jana alipokea taarifa rasmi kutoka kwa Naibu Msajili wa Mahakama kuu.
Soma: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa
Kutokana na maono toka mbingu. Kabla ya tar hiyo kuna jambo kubwa litatukia.

Aah' kwahiyo saizi ndio umepata akiliKwa akili zako kesi itaanza kwa sababu ya thread za JF!?..weupe sana vichwani
Ndoto pekee aliyobaki nayo ni maumivu na mateso yanayomwandama maisha yake yote yaliyobaki.naijua, kuleta maendeleo nchi nzima