tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea.
Soma pia: Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya mahakama kusikilizwa kesho Oktoba 15,2025
Sasa Katika kesi hiyo Heche na wenzake wanane ambao ni John Mnyika, Brenda Rupia, Rose Mayemba, Hilda Newton, Gervas Benard Lyenda, Twaha Mwaipaya, Katibu Mkuu na Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA wanatuhumiwa kukiuka amri ya Mahakama Kuu iliyotolewa Juni 10 mwaka huu Kesi hiyo ambayo imefunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake wawili, wajibu maombi wanawakilishwa Mahakamani leo na Mawakili Hekima Mwasipu na Jebra Kambole.