Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

mimi kukupikia mpaka uwe nao huo ugali.

lakini umemjibia kama mkewe au chawa wake????
Nimejibu kama mtu wa kati , anayejuwa tofauti kubwa zilizopo kati yenu wawili. Wewe ukiwa kapuku wa kutupa, mtu asiyejielewa na asiye na msimamo juu ya jambo lolote, isipokuwa kujikweza tu ili apate mlo wake wa siku.
 
Tendega baada ya kumaliza kuapishwa na wakili Kibatala kuumuliza maswali matatu, ikiwa ni pamoja na mahali alikokuwa Julai 18, mwaka huu wakati aliposaini kiapo chake alichokiwasilisha mahakamani, mbunge huyo aliomba kuuliza maswali.
Hata hivyo, Jaji Mkeha alimjibu kuwa yeye hapaswi kuuliza swali, bali kujibu maswali kutoka kwa mawakili, ndipo Tendega akajieleza alichohitaji kukisema na kuweka wazi kuwa anaomba mahakama imlinde.
“Naomba tu kusema kweli, mimi kama nilivyoapa hapa. Nilikiwa Kiongozi mkubwa tu ndani ya Chadema. Nimeapa kusema ukweli hivyo naomba unilinde kuna mambo mengine ambayo nitayaongea hapa ambayo ni siri,” alidai Tendega.
Hata hivyo, Jaji Mkeha alimueleza kuwa anapaswa kujibu maswali kulingana na atakachoulizwa na si nje ya hayo atakayokuwa anaulizwa. Baada ya maelezo hayo, wakili Kibatala aliendelea kumhoji maswali mbalimbali kuhusiana na madai yake katika kiapo chake ambayo ndiyo msingi wa kesi hiyo.

Katika mahojiano hayo alieleza pamoja na mambo mengine kuwa alipewa barua ya wito kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, Novemba 25, 2020 kwa njia ya mtandao WhatsApp akiwa Dodoma akitakiwa kufika ofisi za makao ya Chadema Novemba 27, saa 2 kupewa maelekezo kuhusu tuhuma zao.
Alidai kuwa utaratibu huo ni kinyume cha taratibu za chama na kwamba baadaye Novemba 27, mchana ndipo alipokea barua nyingine ya Mnyika ya Novemba 26, 2020 ilimwelekeza mahali ambako kikao cha Kamati Kuu kilipanga kufanyika kushughulika tuhuma zao.
Hata hivyo, alipoulizwa kama alikuwa na vilelezo alivyoviwasilisha mahakamani kuthibitisha maelezo yake hayo kuwa Julai 18, alisaini kiapo chake na kupokea barua hiyo kwa njia ya WhatsApp alikiri kuwa hakuwa na vilelezo hivyo.
Pia alipooneshwa na Wakili Kibatala Katiba ya Chadema Toleo la mwaka 2019 kuhusu matumizi ya Tehama katika mawasiliano na shughuli nyingine za chama alikubali kuwa Katiba inaruhusu mawasiliano kwa njia hiyo.
 
Katiba ya chadema toleo la 2019 imekuwa kamba ya kumunyonga Grace Tendega.
Tuelendelee kufuatilia Kisutu mahakamani,

Inatakiwa tupate taarifa za mahakamani mubadhara.... Maswali na majibu....
Naamin hiyo kesi haiitaji kujua PGO...
 
Leo Vipi kesi imeahirishwa au imefutwa baada ya habari za mitandaoni kwamba Mdee ameomba msamaha?
 
Jaji anaomba shahidi aongeze sauti Mana kila muda unavosogea mbele saiuti ya shahidi inakua ndogo au kukauka
 
Tendega baada ya kumaliza kuapishwa na wakili Kibatala kuumuliza maswali matatu, ikiwa ni pamoja na mahali alikokuwa Julai 18, mwaka huu wakati aliposaini kiapo chake alichokiwasilisha mahakamani, mbunge huyo aliomba kuuliza maswali.
Hata hivyo, Jaji Mkeha alimjibu kuwa yeye hapaswi kuuliza swali, bali kujibu maswali kutoka kwa mawakili, ndipo Tendega akajieleza alichohitaji kukisema na kuweka wazi kuwa anaomba mahakama imlinde.
“Naomba tu kusema kweli, mimi kama nilivyoapa hapa. Nilikiwa Kiongozi mkubwa tu ndani ya Chadema. Nimeapa kusema ukweli hivyo naomba unilinde kuna mambo mengine ambayo nitayaongea hapa ambayo ni siri,” alidai Tendega.
Hata hivyo, Jaji Mkeha alimueleza kuwa anapaswa kujibu maswali kulingana na atakachoulizwa na si nje ya hayo atakayokuwa anaulizwa. Baada ya maelezo hayo, wakili Kibatala aliendelea kumhoji maswali mbalimbali kuhusiana na madai yake katika kiapo chake ambayo ndiyo msingi wa kesi hiyo.

Katika mahojiano hayo alieleza pamoja na mambo mengine kuwa alipewa barua ya wito kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, Novemba 25, 2020 kwa njia ya mtandao WhatsApp akiwa Dodoma akitakiwa kufika ofisi za makao ya Chadema Novemba 27, saa 2 kupewa maelekezo kuhusu tuhuma zao.
Alidai kuwa utaratibu huo ni kinyume cha taratibu za chama na kwamba baadaye Novemba 27, mchana ndipo alipokea barua nyingine ya Mnyika ya Novemba 26, 2020 ilimwelekeza mahali ambako kikao cha Kamati Kuu kilipanga kufanyika kushughulika tuhuma zao.
Hata hivyo, alipoulizwa kama alikuwa na vilelezo alivyoviwasilisha mahakamani kuthibitisha maelezo yake hayo kuwa Julai 18, alisaini kiapo chake na kupokea barua hiyo kwa njia ya WhatsApp alikiri kuwa hakuwa na vilelezo hivyo.
Pia alipooneshwa na Wakili Kibatala Katiba ya Chadema Toleo la mwaka 2019 kuhusu matumizi ya Tehama katika mawasiliano na shughuli nyingine za chama alikubali kuwa Katiba inaruhusu mawasiliano kwa njia hiyo.
Hii nchi ina kundi kubwa sana wajinga. Tazama hawa ni kundi limetangulizwa mbele na wana chadema. Lakini vichwani ni uharo tu. Tazama watu wamejeruhiwa kwa sababu ya wajinga kama hawa
 
Duh! Ukikutana na WAKILI MSOMI, Kibatala lazima upate kisukari cha ghafla kama KIGAI
 
Back
Top Bottom