Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

yes umenena,bila ya DNA test results ambazo zita mlink mtuhumiwa na ushahidi hapa kesi hamna,hii ni siasa zaidi kuliko kesi;je mimi nikiwa nimekaa eneo wanaovuta bangi ule moshi nikauvuta ,nikapelekwa kupimwa na vipimo vikaonyesha positive,je nina kesi hapa?huu ni upotevu wa kodi yangu,please jeshi langu la polisi fuatilia wale underworld wanaoharibu my next generations na drugs sio upuuzi huu.
 
Lissu alidai kuwa VIPISI VIWILI VYENYE MAJANI UKIVIANGALIA KWA MAKINI , NI VIPISI VYA SIGARA ZA KIENYEJI AMBAYO IMETUMIKA KWA SABABU VINA ALAMA YA KUUNGUA , AMBAVYO KWAO ( SINGIDA ) VINAITWA ' TWAGOOSO '

Akifafanua zaidi wakili huyo alidai kuwa kitu kinachoitwa msokoto wa bangi hakijulikani , kimefungwafungwa karatasi na hakubaliani na upande wa jamhuri kukitoa mahakamani kama kielelezo .

Hatima ya kupokelewa ama kutokupolewa kwa kielelezo hicho mahakamani itajulikana Agosti 18.

Chanzo - Nipashe .

Mungu ibariki CHADEMA
 
Lissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.

Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.

Nakaribisha mapovu.
Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
 
Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
Usiku unapekuliwa ila wakati wa upekuzi awepo polisi mwenye cheo cha kuanzia inspector

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Usiku unapekuliwa ila wakati wa upekuzi awepo polisi mwenye cheo cha kuanzia inspector

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Sasa kwa wema walipelekwa wale wanaolinda doria miaka yote , wale wanaodhurula na madifenda kutwa kucha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…