waefeso
Member
- Mar 29, 2017
- 89
- 80
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa FundiHuyu jamaa mbona anaipelekesha mahakama kama anavyotaka yeye,
Kwani huko kwenu hakuna wavuta bangi?Hata chidi benz walisema anaonewa ila ni suala la muda tu. Wema bangi anavuta sana,hii kesi iwe fundisho kwake ajitahidi aache bangi itampeleka pabaya
yes umenena,bila ya DNA test results ambazo zita mlink mtuhumiwa na ushahidi hapa kesi hamna,hii ni siasa zaidi kuliko kesi;je mimi nikiwa nimekaa eneo wanaovuta bangi ule moshi nikauvuta ,nikapelekwa kupimwa na vipimo vikaonyesha positive,je nina kesi hapa?huu ni upotevu wa kodi yangu,please jeshi langu la polisi fuatilia wale underworld wanaoharibu my next generations na drugs sio upuuzi huu.Utatakiwa ushahidi wa DNA kwenye hivyo vipsi vya msokoto ili kudhibitisha vilipita mdomoni mwa wema na havikuwa planted,
sasa huyu mkemia ana vifaa ama misokoto itumwe kwemye maabara za FBI kule state.
Afterall inakaa kama mkemia mkuu yuko compromised na politics
Kweli??? Tusubiri!Mhh kazi ipo mwaka 2020
Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .Lissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.
Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.
Nakaribisha mapovu.
jinga lao akimsikia tl huwa anweweseka sanaLissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.
Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.
Nakaribisha mapovu.
Usiku unapekuliwa ila wakati wa upekuzi awepo polisi mwenye cheo cha kuanzia inspectorZipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
Kuna vitu vingi kama prosecution hawakuvifanya wakati wanampekua na kuchukua hivyo wanavyovisema, wameanguka tayariZipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
Sasa kwa wema walipelekwa wale wanaolinda doria miaka yote , wale wanaodhurula na madifenda kutwa kucha .Usiku unapekuliwa ila wakati wa upekuzi awepo polisi mwenye cheo cha kuanzia inspector
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Kwetu Kyela inaitwa Matwiga , imejaa sokoni , debe 1 tshs mia 5 .Kwa hiyo mrembo huwa anatumia twagooso....
Ngoja tusubiri wataalam wa kesi wapambane kwanza...