Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Mkuu hata Polisi wa Ulaya hawajui sheria zote za nchi zao. Ila kazi zao wanafanya kwa ufanisi kutokana na usaidizi na miundombinu mizuri.

Kabla ya kufanya tukio kuna mtu anawaongoza na akiridhika na maelezo ya Polisi ndiyo anawapa kifungu gani wakifate kutokana na maelezo ya tukio zima.

Mwisho Polisi si msimamizi sheria sababu hayuko juu ya sheria, Polisi anailinda sheria tu.

Wale huwa wanafanya kazi na DA, kwa case ya marekani. Wanapata ushauri jinsi ya ku build kesi!!

Polisi wa bongo ni nguvu zaidi ya maarifa watashindwa tu
 
Hivi polisi wa bongo huwa wanaoanisha taarifa za DNA mathalani kutumia DNA ya mtu na kulinganisha na masalia ya DNA ambayo huweza kubaki katika kitu alichogusa mtuhumiwa...?

Mfano huo/hiyo misokoto ya bangi ambayo imetumiwa kama kielelezo kwa vyovyote vile kama mtu alivuta itakuwa na traces za DNA kuanzia kwenye vidole, lips za midomo, mate, jasho jasho...
Kuna vitu vingi kama prosecution hawakuvifanya wakati wanampekua na kuchukua hivyo wanavyovisema, wameanguka tayari
 
Kuna vitu vingi kama prosecution hawakuvifanya wakati wanampekua na kuchukua hivyo wanavyovisema, wameanguka tayari
Mkuu naona unahoja nzuri ila umeiweka kidogo mno wengine hatujui prosecution what doe's it mean ungefafanua zaidi maaana ni humu tunapata maarifa na mengineyo
 
Hivi polisi wa bongo huwa wanaoanisha taarifa za DNA mathalani kutumia DNA ya mtu na kulinganisha na masalia ya DNA ambayo huweza kubaki katika kitu alichogusa mtuhumiwa...?

Mfano huo/hiyo misokoto ya bangi ambayo imetumiwa kama kielelezo kwa vyovyote vile kama mtu alivuta itakuwa na traces za DNA kuanzia kwenye vidole, lips za midomo, mate, jasho jasho...
Hatujaenda kwenye utaalamu kama huo. nadhani you might be right, one can try to establish a link as you have proposed!
 
Mkuu naona unahoja nzuri ila umeiweka kidogo mno wengine hatujui prosecution what doe's it mean ungefafanua zaidi maaana ni humu tunapata maarifa na mengineyo

Kuna taratibu za kumpekua mtu, zipo kisheria.. important is an independent witness(es) katika shughuli hiyo, namna unavyochukua vielelezo (exhibits-evidence) ulivyovikuta (bangi etc in Wema's case)... ukamataji, upekuzi, uchukuaji wa exhibits, walivyohifadhi hivyo exhibits, vilirekodiwa wapi, upelekaji kwa mkemia taratibu zilikuwaje, ,

handling kwa mkemia, aliyefanya analysis (unaweza hoji utaalamu wake, maabara kama ina sifa za kufanya hizo tests etc)...mambo mengi. sidhani kama polisi walifanya hayo yote maana ilikuwa zima moto
 
Kumpima mtu mkojo chini ya mtutu wa bunduki haikubaliki , kuna kila dalili kwamba majibu yalipangwa , subiri tufike kwenye hicho kipengere , kuna watu wataacha kazi bila kupenda .
Kama hili ni Game basi hakuna atakayeacha kazi... hakuna kibaraka anayeacha kazi..
 
Lissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.

Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.

Nakaribisha mapovu.
Mh! Hayo ya kweli! Jaribu kumbuka u'smart' huo kajijengea wakati na mazingira gani? Wahenga walinena:
Kamba hukatikia ...! na Ngoma ikilia sana ...
 
Sasa kwa wema walipelekwa wale wanaolinda doria miaka yote , wale wanaodhurula na madifenda kutwa kucha .
Wale ndio huwa hawajui sheria kabisa,, wao wakiambiwa kwenye nyumba fulani kuna mzigo wa magendo, ,,huwa hawataki hata kutafuta mjumbe wala search warranty, ,wanavamia tu ku-search
 
Mh! Hayo ya kweli! Jaribu kumbuka u'smart' huo kajijengea wakati na mazingira gani? Wahenga walinena:
Kamba hukatikia ...! na Ngoma ikilia sana ...
He is guided by law, there is no room for misemo ya wahenga here. It is the science of law that makes him supreme! All his deeds are calculated to fall within the dictates of the law and not otherwise!
 
Kuna taratibu za kumpekua mtu, zipo kisheria.. important is an independent witness(es) katika shughuli hiyo, namna unavyochukua vielelezo (exhibits-evidence) ulivyovikuta (bangi etc in Wema's case)... ukamataji, upekuzi, uchukuaji wa exhibits, walivyohifadhi hivyo exhibits, vilirekodiwa wapi, upelekaji kwa mkemia taratibu zilikuwaje, , handling kwa mkemia, aliyefanya analysis (unaweza hoji utaalamu wake, maabara kama ina sifa za kufanya hizo tests etc)...mambo mengi. sidhani kama polisi walifanya hayo yote maana ilikuwa zima moto
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kwanza walibadilisha kesi wakasema ni madawa kulevya , sio bhangi tena!! Wanahangaika na utashi wa Bashite asubiri baada 10yrs aone jinai yake......atajuta misifa na kutumika
 
Back
Top Bottom