Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Nchi hii raha sana.. Yaani ssa hvi ukitaka kuwa mhalifu halafu utetewe hamia Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mtu anakua presumed innocent until proven guilty hizo ni principle mkuu inaitwa presunption of innocence ndo maana tunawaambiaga wanasheria ni wasomi hamuelewi...
 
He is guided by law, there is no room for misemo ya wahenga here. It is the science of law that makes him supreme! All his deeds are calculated to fall within the dictates of the law and not otherwise!
A lost sheep for a shephard who does not care for them
 
sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
Lile jiziiii linalokula kodi zetu na watoto wa dada zake lini linaenda kupekuliwa kule kwao chatto maburungutu ya pesa lililozificha???
 
Lissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.

Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.

Nakaribisha mapovu.
Watamunyoosha tuu na atakuwa akivuliwa nguo kupimwa mkojo kila mara sisiemu sio ya spotispoti wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi polisi wa bongo huwa wanaoanisha taarifa za DNA mathalani kutumia DNA ya mtu na kulinganisha na masalia ya DNA ambayo huweza kubaki katika kitu alichogusa mtuhumiwa...?

Mfano huo/hiyo misokoto ya bangi ambayo imetumiwa kama kielelezo kwa vyovyote vile kama mtu alivuta itakuwa na traces za DNA kuanzia kwenye vidole, lips za midomo, mate, jasho jasho...

Hii hoja inaweza msaidia Wema kuchomoka
 
Wachukue mkojo tu kumaliza maneno, hahahahahaa
Walishapima tayari mkojo wake ukakutwa una bangi. Angekubali tu yaishe kwani kosa la kuvuta bangi ni dogo sana mahakamani na adhabu yake haizidi faini ya shillingi laki moja. Kosa kubwa ni kufanya biashara ya bangi na siyo kuvuta bangi. Wavuta bangi wako wengi sana hasa kule Tarime ambako mbunge wa huko anataka uhalalishwe kisheria kwani kunawafanya kuwa jasiri.
 
Huyo binti anavuta bangi wengi tunajua sema hii kesi ni kutaka kukomoana tuu mana wanaovuta niwengi mno wabunge,mawaziri na maraisi...serikali ya viwanda haiwezi pata muda kuhangikia vitu vya ujinga
 
Unawaamini wapimaji wa kupangwa ? Huyu mlisema ni muuza unga ikageuka vipi tena kupima mkojo ? Tukisema mkojo unaodaiwa kupimwa haukuwa wake uko tayari kutoa ushirikiano ?
 
Huyo binti anavuta bangi wengi tunajua sema hii kesi ni kutaka kukomoana tuu mana wanaovuta niwengi mno wabunge,mawaziri na maraisi...serikali ya viwanda haiwezi pata muda kuhangikia vitu vya ujinga
Weka ushahidi mjomba , mapovu hayatakusaidia .
 
Weka ushahidi mjomba , mapovu hayatakusaidia .
weka kwanza wewe ushahidi kuwa havuti!! Huyu alitaka kumwingiza msanii flani mkubwa kwenye uvutaji...matendo yake pia yanasadifu bange,watu wake wakaribu wanasema hivyo,hoteli anazolala huacha vipisi vya bange nk. Bora utetee bange kuliko kumtetea yeye kutovuta!
 
Kwa kuwa makonda anajua ukishakuwa mkuu wa mkoa ni kama raisi wa mkoa na akajua kwa kuwa mahakama ziko kwenye mkoa wake amri kutoka juu itatumika kuwadhibiti wapinzani wake. Hii ni akili ya mtu ambaye lazima vyeti vyake viwe ni ORIGINOL TU.
 
weka kwanza wewe ushahidi kuwa havuti!! Huyu alitaka kumwingiza msanii flani mkubwa kwenye uvutaji...matendo yake pia yanasadifu bange,watu wake wakaribu wanasema hivyo,hoteli anazolala huacha vipisi vya bange nk. Bora utetee bange kuliko kumtetea yeye kutovuta!
Nitajie faida 2 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuongopa .
 
Walishapima tayari mkojo wake ukakutwa una bangi. Angekubali tu yaishe kwani kosa la kuvuta bangi ni dogo sana mahakamani na adhabu yake haizidi faini ya shillingi laki moja. Kosa kubwa ni kufanya biashara ya bangi na siyo kuvuta bangi. Wavuta bangi wako wengi sana hasa kule Tarime ambako mbunge wa huko anataka uhalalishwe kisheria kwani kunawafanya kuwa jasiri.
Unajua passive smoking!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom