Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,010
Mkuu hata Polisi wa Ulaya hawajui sheria zote za nchi zao. Ila kazi zao wanafanya kwa ufanisi kutokana na usaidizi na miundombinu mizuri.
Kabla ya kufanya tukio kuna mtu anawaongoza na akiridhika na maelezo ya Polisi ndiyo anawapa kifungu gani wakifate kutokana na maelezo ya tukio zima.
Mwisho Polisi si msimamizi sheria sababu hayuko juu ya sheria, Polisi anailinda sheria tu.
Wale huwa wanafanya kazi na DA, kwa case ya marekani. Wanapata ushauri jinsi ya ku build kesi!!
Polisi wa bongo ni nguvu zaidi ya maarifa watashindwa tu