Penye ukweli povu hukaa mbali.Lissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.
Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.
Nakaribisha mapovu.
mkuu mtu anakua presumed innocent until proven guilty hizo ni principle mkuu inaitwa presunption of innocence ndo maana tunawaambiaga wanasheria ni wasomi hamuelewi...Nchi hii raha sana.. Yaani ssa hvi ukitaka kuwa mhalifu halafu utetewe hamia Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
A lost sheep for a shephard who does not care for themHe is guided by law, there is no room for misemo ya wahenga here. It is the science of law that makes him supreme! All his deeds are calculated to fall within the dictates of the law and not otherwise!
Lile jiziiii linalokula kodi zetu na watoto wa dada zake lini linaenda kupekuliwa kule kwao chatto maburungutu ya pesa lililozificha???sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
Watamunyoosha tuu na atakuwa akivuliwa nguo kupimwa mkojo kila mara sisiemu sio ya spotispoti wewe.Lissu ni smart sana kwenye uwanda wa sheria, ataendelea kuwahenyesha kila siku.
Serikali inamuogopa na CCM wanamuogopa, kuanzia mwenyekiti taifa, hadi wanachama wa kawaida.
Nakaribisha mapovu.
Hivi polisi wa bongo huwa wanaoanisha taarifa za DNA mathalani kutumia DNA ya mtu na kulinganisha na masalia ya DNA ambayo huweza kubaki katika kitu alichogusa mtuhumiwa...?
Mfano huo/hiyo misokoto ya bangi ambayo imetumiwa kama kielelezo kwa vyovyote vile kama mtu alivuta itakuwa na traces za DNA kuanzia kwenye vidole, lips za midomo, mate, jasho jasho...
Unabisha nini na wakat huo huo unaweka conditions fulansheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
Walishapima tayari mkojo wake ukakutwa una bangi. Angekubali tu yaishe kwani kosa la kuvuta bangi ni dogo sana mahakamani na adhabu yake haizidi faini ya shillingi laki moja. Kosa kubwa ni kufanya biashara ya bangi na siyo kuvuta bangi. Wavuta bangi wako wengi sana hasa kule Tarime ambako mbunge wa huko anataka uhalalishwe kisheria kwani kunawafanya kuwa jasiri.Wachukue mkojo tu kumaliza maneno, hahahahahaa
Tukikuwekea ushahidi kwamba hao polisi ndio waliochomekea hilo goso utakubali ?Hiv nyie chadema kwa akil ya kawaida, wema anaweza kutumia goso kweli achen ujanja kwenye mambo ya msing
Unawaamini wapimaji wa kupangwa ? Huyu mlisema ni muuza unga ikageuka vipi tena kupima mkojo ? Tukisema mkojo unaodaiwa kupimwa haukuwa wake uko tayari kutoa ushirikiano ?Walishapima tayari mkojo wake ukakutwa una bangi. Angekubali tu yaishe kwani kosa la kuvuta bangi ni dogo sana mahakamani na adhabu yake haizidi faini ya shillingi laki moja. Kosa kubwa ni kufanya biashara ya bangi na siyo kuvuta bangi. Wavuta bangi wako wengi sana hasa kule Tarime ambako mbunge wa huko anataka uhalalishwe kisheria kwani kunawafanya kuwa jasiri.
Weka ushahidi mjomba , mapovu hayatakusaidia .Huyo binti anavuta bangi wengi tunajua sema hii kesi ni kutaka kukomoana tuu mana wanaovuta niwengi mno wabunge,mawaziri na maraisi...serikali ya viwanda haiwezi pata muda kuhangikia vitu vya ujinga
aani Lisu ndio mwenyewe?Ndio maana Lissu aliomba ashike mwenyewe kesi hii .
weka kwanza wewe ushahidi kuwa havuti!! Huyu alitaka kumwingiza msanii flani mkubwa kwenye uvutaji...matendo yake pia yanasadifu bange,watu wake wakaribu wanasema hivyo,hoteli anazolala huacha vipisi vya bange nk. Bora utetee bange kuliko kumtetea yeye kutovuta!Weka ushahidi mjomba , mapovu hayatakusaidia .
Nitajie faida 2 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuongopa .weka kwanza wewe ushahidi kuwa havuti!! Huyu alitaka kumwingiza msanii flani mkubwa kwenye uvutaji...matendo yake pia yanasadifu bange,watu wake wakaribu wanasema hivyo,hoteli anazolala huacha vipisi vya bange nk. Bora utetee bange kuliko kumtetea yeye kutovuta!
Unajua passive smoking!Walishapima tayari mkojo wake ukakutwa una bangi. Angekubali tu yaishe kwani kosa la kuvuta bangi ni dogo sana mahakamani na adhabu yake haizidi faini ya shillingi laki moja. Kosa kubwa ni kufanya biashara ya bangi na siyo kuvuta bangi. Wavuta bangi wako wengi sana hasa kule Tarime ambako mbunge wa huko anataka uhalalishwe kisheria kwani kunawafanya kuwa jasiri.