Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jana nilikuwa nazika dogo MMOJA pale Arusha sekei
Kijana amekuwa na bosi wake miaka kama kumi
Wakafanikiwa KWENDA kununua kiwanja bagamoyo hk 4
BOsi wake hakufanjkiwa kukiendeleza
Wakaakaa kama miaka 5 wakaenda kukifatilia wakakuta nusu kimeuxwa na kuna watu wameshajenga sio mtu MMOJA
Imebaki hk Moja tu kijana wakaenda SERKL za mitaa MAHAKAMAN AKATOA ushahidi wakashindaa
Ikabidi iamriwe wale jamaa wamlipe mama boss lady WA kijana
WAPENDWA
Kijana kurudi tu dar es salaam BALAA
AKaanaza kutapika damu kuanzia jtano KUFIKA jpili
Kijana wetu akatutokaaaaa
Hizi ardhi sio nzuri sana z akuchezea
Unaweza poteza maisha kirahisisana usiaminiii
Wale WA MIRATHI daini haki zenu ila mtangulizen sana Mungu mnooooo mnapoenda mahakaman
NAKUMBUKA 2019
Tulikuwa na MIRATHI ya mama tukakimbizana NAYO kaka akataka malizote ziuzwe nikamkatalia tugawane kila mtu akauze vyake
Kaka akashindana wewe akiwa kwenye mdumbuano yule hakimu mama Mungu aendelee kumtunxa akaita karani AKATOA faili la mama MMOJA mchaga kimaro
Yule mama mume alirkufa watoto watano wamebakia
Wawili wakaenda MAHAKAMAN wanataka kila cha mzee kiuxwe WAGAWANE hadi nyumba ya mama anayoishi
Aisee akatupa lile failli ANGALIEN karatasi ya tatu death certificate somen n mda gani Toka afungue kesi mwezi tu
Wakaenda safari hii huyu MMOJA kakomaa na yeye
Kijana Mungu kampa maisha akapiga Dili Moja akanunua cruiser
Kama.mjuavyo wachaga akataka KWENDA kuwaonyesha wachaga anatembelea cruiser
Akiwa safari kwa wale dreva wanaenda Moshi WANAJUA SEHEMU imeandikwa punguxa speed same
Kijana Ile akuiona akaikanyagiaaa hahahaa kijana akiwa yeye na mkewe na watoto wawili alibaki MMOJA tu akakimbixwa icu
Mama akapigiwa MWANAO amekufa nakawambia ziken tu
HAPO n miezi miwili BAADA ya nduguyake kufa
Wale watatu waliobakia wako pamoja na mamayao kesi ikafutwa biashara ikaishia
Hii DUNIA na hii ardhi naiogopaa sana
Muwe makini mkienda MAHAKAMAN jipaken mafuta ya mwamposa na maji mtaisha msione wanakuja wanawapendanhatakamaaaa n NDUGU mtaisha