Kesi za mawakili wa CHADEMA ni ishara ya CHADEMA kushindwa kufanya siasa

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL.

Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye uwakili wamegeukia mahakamani kwa kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu. Lengo lao ni kuichafua mahakama na polisi.

Kesi hii ilikuwa ni ya kupata amri ya mahakama ya kuwalazimisha polisi kuwaleta Soka na wenzake na wawape dhamana kama wanakosa la kushitakiwa au wawaache huru (MANDAMUS).

Ili kufanikiwa kwa kesi kama hii lazimauwena uhakika na utoe uthibitisho kuwa watu hao wako kwa mtu unayemshitaki.

Hivi vitu CHADEMA na mawakili wao akiwemo rais wa TLS hawana. Jaji kaona, kaamua. sasa tusubiri matusi na kejeri ambayo tayari Mwaipaya kaanza

Update Hukumu ya Soka na Wenzake: Jaji anasema Hajaona uthibitisho kuwa kina Soka wako chini ya ulinzi wa polisi. Ila polisi wote waliotajwa wameamriwa kufanya uchunguzi wa wapi walipo kina Soka kwani na kazi ya polisi kulinda watu na mali zao.

Jaji: Mahakama Haiwezi kutoa dhamana kwa waombaji kwani hakuna uthibitisho kuwa wako chini ya custody ya polisi.
 
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL.
Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye uwakili wamegeukia mahakamani kwa kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu. Lengo lao ni kuichafua mahakama na polisi.
Kesi hii ilikuwa ni ya kupata amri ya mahakama ya kuwalazimisha polisi kuwaleta Soka na wenzake na wawape dhamana kama wanakosa la kushitakiwa au wawaache huru (MANDAMUS). Ili kufanikiwa kwa kesi kama hii lazimauwena uhakika na utoe uthibitisho kuwa wato hao wako na kwa mtu unayemshitaki. Hivi vitu CHADEMA na mawakili wao akiwemo rais wa TLS hawana. Jaji kaona, kaamua. sasa tusubiri matusi na kejeri ambayo tayari Mwaipaya kaanza

Twaha Mwaipaya
@Twaha_Mwaipaya

Update Hukumu ya Soka na Wenzake:Jaji.. anasema Hajaona uthibitisho kuwa kina Soka wako chini ya ulinzi wa polisi. Ila polisi wote waliotajwa wameamriwa kufanya uchunguzi wa wapi walipo kina Soka kwani na kazi ya polisi kulinda watu na mali zao. Jaji:Mkunaahakama Haiwezi kutoa dhamana kwa waombaji kwani hakuna uthibitisho kuwa wako chini ya custody ya polisi.
Kuna mambo hutakiwi uyashabikie hasa mabaya yakimkuta mwenzio, siku yatakukuta tu
 
Nchi hii inaendeshwa kwa kufuata Sheria sasa kwanini unalalamika CHADEMA kwenda MAHAKAMANI?!
Nashukuru kwamba
1. fursa ya kwenda mahakamani ipo
2. watu wameenda mahakamani
3. Mahakama imewasikiliza
4. hoja zllizowasilishwa zimeisaidia mahakama kutoa hukumu
ila CHADEMA hawako tayari kukubaliana na hukumu ya mahakama
 
jifunze kwa wengine, dunia ni dynamic not statics
 
Nashukuru kwamba
1. fursa ya kwenda mahakamani ipo
2. watu wameenda mahakamani
3. Mahakama imewasikiliza
4. hoja zllizowasilishwa zimeisaidia mahakama kutoa hukumu
ila
CHADEMA hawako tayari kukubaliana na hukumu ya mahakama
Kutokubaliana na hukumu ya mahakama siyo kosa ndiyo maana kuna mahakama za rufaa.
 
Nashukuru kwamba
1. fursa ya kwenda mahakamani ipo
2. watu wameenda mahakamani
3. Mahakama imewasikiliza
4. hoja zllizowasilishwa zimeisaidia mahakama kutoa hukumu
ila CHADEMA hawako tayari kukubaliana na hukumu ya mahakama
Toa mfano acha Porojo.
 
Toa mfano acha Porojo.
Unataka mifano:
1. Kesi ya Gekul iko wapi?
2. Kesi ya Soka yale yale
sijui kama wanajua sheria - ukitika kujua wanachotafuta sasa wanaanza kushambulia mahakama na kutishia kuchukua sheria mkononi kwa kisingizio kuwa mahakama zinafata maelekezo kutoka juu
 
Wewe umelewa Maji ya Bendera na UMEPOFUKA kwa muda.
 
Kutokubaliana na hukumu ya mahakama siyo kosa ndiyo maana kuna mahakama za rufaa.
Kutokubaliana siyo kosa kweli ila kuzodoa mahakama ni makosa

Mkuu mahakama siyo mama kwamba atakupa hata ambacho hujaombana bila uthibitisho- UKO WAPI UTHIBITISHO KUWA :-
  1. SOKA ALIKAMATWA NA POLISI
  2. SOKA YUKO POLISI
  3. SOKA HANA KOSA LOLOTE
 
Kutokubaliana na hukumu ya mahakama siyo kosa ndiyo maana kuna mahakama za rufaa.
Kutokubaliana siyo kosa kweli ila kuzodoa mahakama ni makosa
Wewe umelewa Maji ya Bendera na UMEPOFUKA kwa muda.
Mkuu mahakama siyo mama kwamba atakupa hata ambacho hujaomba na bila uthibitisho- UKO WAPI UTHIBITISHO KUWA :-
  1. SOKA ALIKAMATWA NA POLISI
  2. SOKA YUKO POLISI
  3. SOKA HANA KOSA LOLOTE
 
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL.

Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye uwakili wamegeukia mahakamani kwa kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu. Lengo lao ni kuichafua mahakama na polisi.

Kesi hii ilikuwa ni ya kupata amri ya mahakama ya kuwalazimisha polisi kuwaleta Soka na wenzake na wawape dhamana kama wanakosa la kushitakiwa au wawaache huru (MANDAMUS).

Ili kufanikiwa kwa kesi kama hii lazimauwena uhakika na utoe uthibitisho kuwa watu hao wako kwa mtu unayemshitaki.

Hivi vitu CHADEMA na mawakili wao akiwemo rais wa TLS hawana. Jaji kaona, kaamua. sasa tusubiri matusi na kejeri ambayo tayari Mwaipaya kaanza

Update Hukumu ya Soka na Wenzake:Jaji.. anasema Hajaona uthibitisho kuwa kina Soka wako chini ya ulinzi wa polisi. Ila polisi wote waliotajwa wameamriwa kufanya uchunguzi wa wapi walipo kina Soka kwani na kazi ya polisi kulinda watu na mali zao.
Jaji:Mahakama Haiwezi kutoa dhamana kwa waombaji kwani hakuna uthibitisho kuwa wako chini ya custody ya polisi.
Tatizo la nchi hii kambale wenye masharubu ni wengi unaweza ukakuta wako chini ya custody ya watu wasiojulikana pengine wanaweza wakawa hata chini ya custody ya Lumumba.
 
Kutokubaliana na hukumu ya mahakama siyo kosa ndiyo maana kuna mahakama za rufaa.
Kutokubaliana siyo kosa kweli ila kuzodoa mahakama ni makosa
Wewe umelewa Maji ya Bendera na UMEPOFUKA kwa muda.
Mkuu mahakama siyo mama kwamba atakupa hata ambacho hujaomba na bila uthibitisho- UKO WAPI UTHIBITISHO KUWA :-
  1. SOKA ALIKAMATWA NA POLISI
  2. SOKA YUKO POLISI
  3. SOKA HANA KOSA LOLOTE
 
Kuna ushahidi "FUSO MBILI" wewe tuliza mshono...

Papara za nini?!!😎
Nilimsikia wakili mmoja akijinasibu hivyo kama Laila na kama ilivyokuwa kwa Laila mahakama yakuona chochote cha maana kwenye ushahidi uliojaa fuso mbili
 
Sijui hata unaongea nini?!
 
Kutokubaliana siyo kosa kweli ila kuzodoa mahakama ni makosa

Mkuu mahakama siyo mama kwamba atakupa hata ambacho hujaomba na bila uthibitisho- UKO WAPI UTHIBITISHO KUWA :-
  1. SOKA ALIKAMATWA NA POLISI
  2. SOKA YUKO POLISI
  3. SOKA HANA KOSA LOLOTE

..katika mazingira tuliyonayo unashauri nini kifanyike?

..ningependa ushauri wako uuelekeze kwa Raisi, Polisi, Ccm, wanaharakati, na ndugu waliopotelewa na ndugu zao.
 
Back
Top Bottom