mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Unaweza ukawasaidia kuwaonyesha walipo ili waende kumcheki?waende aliko maana mahakana wameshindwa kupata uthibitisho kutoka CHADEMA kuwa mtu wao alikamatwa na yuko na polisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukawasaidia kuwaonyesha walipo ili waende kumcheki?waende aliko maana mahakana wameshindwa kupata uthibitisho kutoka CHADEMA kuwa mtu wao alikamatwa na yuko na polisi
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL.
Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye uwakili wamegeukia mahakamani kwa kufungua kesi zisizo na kichwa wala miguu. Lengo lao ni kuichafua mahakama na polisi.
Kesi hii ilikuwa ni ya kupata amri ya mahakama ya kuwalazimisha polisi kuwaleta Soka na wenzake na wawape dhamana kama wanakosa la kushitakiwa au wawaache huru (MANDAMUS).
Ili kufanikiwa kwa kesi kama hii lazimauwena uhakika na utoe uthibitisho kuwa watu hao wako kwa mtu unayemshitaki.
Hivi vitu CHADEMA na mawakili wao akiwemo rais wa TLS hawana. Jaji kaona, kaamua. sasa tusubiri matusi na kejeri ambayo tayari Mwaipaya kaanza
Update Hukumu ya Soka na Wenzake: Jaji anasema Hajaona uthibitisho kuwa kina Soka wako chini ya ulinzi wa polisi. Ila polisi wote waliotajwa wameamriwa kufanya uchunguzi wa wapi walipo kina Soka kwani na kazi ya polisi kulinda watu na mali zao.
Jaji: Mahakama Haiwezi kutoa dhamana kwa waombaji kwani hakuna uthibitisho kuwa wako chini ya custody ya polisi.
Nenda ukawaonyesheNyumbani kwa MBOWE