Kuna kitu katika kesi hakipo sawa Jaji amejuaje kuws POLISI hawashikiriii hawa watu. Au wamemtonya kwa njia ambazo hazipo rasmi. Mahakama kazi yake nikubalance hoja za pande mbili kisha kutoa maamuzi sasa kama watu watapeleka kesi zao mahakamani alafu zikawa zinaishia kwa hakimu au jaji watu watakuwa hawapeleki tena kesi mahakamani na badala yake watakuwa wanachukua maamuzi yao, nchi ikifikia hatua hiyo, patakuwa hapakaliki, Mahakama kuu ni sehemu muhimu sana kwa mustakabali ya nchi, kwa ajili ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Watu wanataka kuona haki ikitendeka hata kama watashindwa kesi lakini kama kutakuwa na mambo ya techicality kwenye mambo yanayo husu maisha ya watu sasa watu watakuwa wanaogopa nini tena.