Kesi za mawakili wa CHADEMA ni ishara ya CHADEMA kushindwa kufanya siasa

..katika mazingira tuliyonayo unashauri nini kifanyike?

..ningependa ushauri wako uuelekeze kwa Raisi, Polisi, Ccm, wanaharakati, na ndugu waliopotelewa na ndugu zao.
Mkuu mimi ninafurahi sasa kuwa mahakama inatumika kuendeleza chote tunachofanya. Nasistiza ukiamua kwenda mahakanani nenda na ushahidi wa kutosheleza sio maneno ya kwenye kahawa na kuchafuana
 
Mkuu mimi ninafurahi sasa kuwa mahakama inatumika kuendeleza chote tunachofanya. Nasistiza ukiamua kwenda mahakanani nenda na ushahidi wa kutosheleza sio maneno ya kwenye kahawa na kuchafuana


Tuna tatizo linalohitaji suluhisho. Toa ushauri kwa wafuatao.

1. Raisi.
2. Polisi.
3. Ccm.
4.Wanaharakati.
5. Ndugu waliyopoteza wapendwa wao.

NB:

Kuna watu wanalia mtaani kwa kupotelewa na wapendwa wao.
 
Kuna kitu katika kesi hakipo sawa Jaji amejuaje kuws POLISI hawashikiriii hawa watu. Au wamemtonya kwa njia ambazo hazipo rasmi. Mahakama kazi yake nikubalance hoja za pande mbili kisha kutoa maamuzi sasa kama watu watapeleka kesi zao mahakamani alafu zikawa zinaishia kwa hakimu au jaji watu watakuwa hawapeleki tena kesi mahakamani na badala yake watakuwa wanachukua maamuzi yao, nchi ikifikia hatua hiyo, patakuwa hapakaliki, Mahakama kuu ni sehemu muhimu sana kwa mustakabali ya nchi, kwa ajili ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Watu wanataka kuona haki ikitendeka hata kama watashindwa kesi lakini kama kutakuwa na mambo ya techicality kwenye mambo yanayo husu maisha ya watu sasa watu watakuwa wanaogopa nini tena.
 
Nashukuru kwamba
1. fursa ya kwenda mahakamani ipo
2. watu wameenda mahakamani
3. Mahakama imewasikiliza
4. hoja zllizowasilishwa zimeisaidia mahakama kutoa hukumu
ila CHADEMA hawako tayari kukubaliana na hukumu ya mahakama
Wapi Chadema waliposema hawakubaliani na hukumu ya mahakama?
Halafu kitu kingine ukiwa kama Mtanzania tupe ushauri au wape ushauri wa kitaalamu kwa kesi ilipoishia nini kifanyike ili pande zote wapate haki zao ukizingatia wazazi wa Soka bado hawajampata mtu wao,hukumu haijafidia hasara waliyoipata ya kumpoteza ndugu yao?
 
Nashukuru kwamba
1. fursa ya kwenda mahakamani ipo
2. watu wameenda mahakamani
3. Mahakama imewasikiliza
4. hoja zllizowasilishwa zimeisaidia mahakama kutoa hukumu
ila CHADEMA hawako tayari kukubaliana na hukumu ya mahakama
Ushahidi wa Mazingira unasemaje?
 
Mkuu lengo la CHADEMA ni kama HAMAS hawjali maisha ya Soka wala ya yeyote; wanafanya siasa; wanatka kuchafua serikali na taifa.
Napenda nikuelekeze ujiulize maswali kadhaa
Kama waiotekwa ni karibu 200 kwanini kesi iliwahusu Soka na wenzake wawili tu?
kwa weledi wa kidigitali ambao CHADEMA wanajinasibu nao kila siku inakuwaje hakuna video ya kuonyesha Soka na wenzake wanatekwa?
 
Ndicho CHADEMA wanachotaka character assassination ya:-
  1. rais
  2. polisi
  3. mahakama
  4. tiss
  5. tume ya uchaguzi
  6. kila kitu
 
Uko na upeo mpana.
Mahakama ndio suluhisho la mwisho kwa hukumu za hapa duniani sasa wakishindwa wao kutatua watu waende wapi,hata ushahidi haupo clear wanatakiwa kutumia busara zao ili kuondoa sintofahamu na kuzingatia pande zote mbili ila kukandamiza upande mmoja kwa kisingizio cha kukosekana ushahidi inaleta picha mbaya hasa kwa watu waliopoteza wapendwa wao
 
Mkuu unageuza mahakama kikao cha kujadili mahari
 
Mkuu unageuza mahakama kikao cha kujadili mahari
Kivipi mbona hueleweki?
Mahakamani ni sehemu ya watu kupata haki zao sasa wewe unavyoona hao waliopoteza ndugu zao wamepata haki zao au wamerudi kama walivyokuja?
 
Kivipi mbona hueleweki?
Mahakamani ni sehemu ya watu kupata haki zao sasa wewe unavyoona hao waliopoteza ndugu zao wamepata haki zao au wamerudi kama walivyokuja?
wamepata haki inayowastahili kwa sababu wamenda kuiatafuta kusiko stahili
 
Kutokubaliana siyo kosa kweli ila kuzodoa mahakama ni makosa
Mahakama hizi makampuni ya delina state atn na mengine yalikopa pesa hayakulipa na bado yakashinda kesi?. Au tunaongelea ushuzi gani?. Mtu anatekwa anapigwa na wapo tu Kama ushuzi wa mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…