Kessy amwaga wino rasmi Jangwani!!


Ha ha ha haaa! Kwa huyu mtoto alivyotumika na Yanga kutuhujumu, wala hainiumi. Ila huko Yanga nako atakuja kuhujumu tu.
Kuna tabia ukizianza basi huwezi ziacha kama vile umekula nyama ya mtu.

Ova
 
Vipi kuhusu Ibrahim Migomba Ajib na yeye kahujumu timu? Maana kuna taarifa kuwa ile Red card aliyopewa alijitakia kwa makusudi kabisa ili afanikishe lengo lake la kutimkia bondeni
 
Wacha akaanze maisha mapya,,,
 
Huyu mtoto nilimchukia toka alipoipa bao Yanga makusudi na alipolazimisha apewe red card na Toto. Aende tu mamluki huyo.
Haya pateni ninyi Yanga kama utumbo ni kitoweo.

Ova
MNA mpira was kizamani sana
 
Manara nae bhana..tunaogopa tukimsema tutapata kesi maana ule ulemavu wake umekuwa ndio ngao yake..ukimbana kwa hoja anakimbilia kusema kadhalilishwa
 
Baada ya mwaka mmoja utasikia yupo Mtibwa na wala sio Orlando Pirates au Jomo Cosmos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…