Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Siku akimpasia John Boko msilaumu lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno yanaonesha ni kiasi gani ulivyogubikwa na hasira kali na wivu.
Vipi,juzi ndiye aliyewafungisha kwa Mwadui FC?
Halafu Manara sijamsikia kitambo sana,hadi nina mashaka na uwepo wake nchini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
#HuuMchezoHauhitajiHasira
samba hatujahujumiwa ...tuache kusingizia mtuaende kwa amani maana alikuwamhujumu namba moja simba walimvumilia wakashindwa
Wacha akaanze maisha mapya,,,Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa Yanga kwa kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili kuanzia mwezi ujao.
Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Kessy, Tippo Athumani na kushoto Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit
Namba ya kudumu mbele ya Juma Abdul?Kessy yupo vzr na anaweza kujihakikishia namba ya kudumu pale yanga maana Simba wamekuwa wababaishaji
We tatizo lako nn?Hii yanga yenyewe ina import tu haiexport.
Crub ??[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huyu kessy pumbavu sana alikuwa anaihujumu simba kwa kutoa siri za crub
Aliwasaliti nn?Kessy acha tamaa usaliti ulioifanyia simba utakugharimu
MNA mpira was kizamani sanaHuyu mtoto nilimchukia toka alipoipa bao Yanga makusudi na alipolazimisha apewe red card na Toto. Aende tu mamluki huyo.
Haya pateni ninyi Yanga kama utumbo ni kitoweo.
Ova
We tatizo lako nn?
Nani anabishana na ww nyau aka simba wa kuchora?Mie sibishani na wewe mwanajangwani a.k.a ngamia wa manjano.
Manara nae bhana..tunaogopa tukimsema tutapata kesi maana ule ulemavu wake umekuwa ndio ngao yake..ukimbana kwa hoja anakimbilia kusema kadhalilishwaHaya maneno yanaonesha ni kiasi gani ulivyogubikwa na hasira kali na wivu.
Vipi,juzi ndiye aliyewafungisha kwa Mwadui FC?
Halafu Manara sijamsikia kitambo sana,hadi nina mashaka na uwepo wake nchini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
#HuuMchezoHauhitajiHasira
kwenye mpira Kuna siri gani?acheni mpira wa kizamani nyie paka fcHuyu kessy pumbavu sana alikuwa anaihujumu simba kwa kutoa siri za crub
kwenye mpira Kuna siri gani?acheni mpira wa kizamani nyie paka fcHuyu kessy pumbavu sana alikuwa anaihujumu simba kwa kutoa siri za crub
Baada ya mwaka mmoja utasikia yupo Mtibwa na wala sio Orlando Pirates au Jomo Cosmos
Kessy acha tamaa usaliti ulioifanyia simba utakugharimu