Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Mbona no picture mkuu
Mbona no picture mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona no picture mkuu
Mbona no picture mkuu
Hivi alipona kweli kutoka kwenye makucha ya huyo Tai??
Haijukani na watu wengine walimlaumu sana Kalvin kua alikua na uwezo wakumuokoa ila hakufanya hvo aacha ili kushuhudia..hivo ni moja ya vitu vilivyokuja kumpa sana mawazo Kalvin adi kupelekea kujiua.Hivi alipona kweli kutoka kwenye makucha ya huyo Tai??
Huyo Tai ni hatari Shemeji??Hivi alipona kweli kutoka kwenye makucha ya huyo Tai??
Huyo ndege ni balaa....!!Huyo Tai ni hatari Shemeji??
Lazima ajiue. MTU mwenye roho nyepesi huwezi kuwa sawasawa kwa tukio hilo.!Haijukani na watu wengine walimlaumu sana Kalvin kua alikua na uwezo wakumuokoa ila hakufanya hvo aacha ili kushuhudia..hivo ni moja ya vitu vilivyokuja kumpa sana mawazo Kalvin adi kupelekea kujiua.
When this photograph capturing the suffering of the Sudanese famine was published in the New York Times on March 26, 1993, the reader reaction was intense and not all positive. Some people said that Kevin Carter, the photojournalist who took this photo, was inhumane, that he should have dropped his camera to run to the little girl’s aid. The controversy only grew when, a few months later, he won the Pulitzer Prize for the photo. By the end of July, 1994, he was dead.
Ni ngumu sana..Lazima ajiue. MTU mwenye roho nyepesi huwezi kuwa sawasawa kwa tukio hilo.!

Huyo Kevin Carter anautofauti gani na kizazi cha hiki cha mtandao kinachopiga picha na kuziweka mitandaoni na kukuacha bila msaada pale unapokuwa umepatwa na janga
Alikufa Mkuu! aliliwa na yule yule Tai! huyo mpiga picha angeweza kupiga picha yake then baadaye angembeba huyo mtoto na kumpeleka kwenye Kambi ambayo kwa mujibu wake mwenyewe haikua mbali sana na eneo la tukio, alikosea sana na hata kuamua kujiua ulikua uamuzi sahihi kwake, ilikua na maana gani kwa picha ile ambayo ilimpa tuzo na pesa na umaarufu mkubwa, halafu kumbe mtoto aliliwa na Tai dakika chache baada ya yeye kuondoka!ningependa kusikia kama huyo binti yuko hai!
Hapana huyo mtoto aliliwa na tai ila anaepiga picha maiti kwenye chakito sijuiningependa kusikia kama huyo binti yuko hai!
so sad! Basi na yeye nafsi ilimuuma ndo maana amejiua!Alikufa Mkuu! aliliwa na yule yule Tai! huyo mpiga picha angeweza kupiga picha yake then baadaye angembeba huyo mtoto na kumpeleka kwenye Kambi ambayo kwa mujibu wake mwenyewe haikua mbali sana na eneo la tukio, alikosea sana na hata kuamua kujiua ulikua uamuzi sahihi kwake, ilikua na maana gani kwa picha ile ambayo ilimpa tuzo na pesa na umaarufu mkubwa, halafu kumbe mtoto aliliwa na Tai dakika chache baada ya yeye kuondoka!