Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui ni kitu gani moyoni mwangu ila mimi hata kama ni mnyama wa kawaida tu nataka nimsaidienajiuliza swali moja tu,HV kwann hakumchukua MTT? alikua anafikiria nn?
Baada ya habari kuifikia dunia kuwa yule mtoto aliliwa na yule Tai! Watu toka kote duniani wakaanza kumshutumu kuwa Tuzo na umaarufu wake aliupata kwa damu, na kwamba damu ya yule mtoto ipo mikononi mwake!so sad! Basi na yeye nafsi ilimuuma ndo maana amejiua!
naweza nisiwe sahihi, ila huyu mpiga picha alizaliwa na kukulia afrika kusini ya enzi za ubaguzi sidhani kama alililelewa kuona thamani sawa ya binadamu wote, chukulia kwamba hiki kitoto kingekuwa kizungu naamini lazima angekibeba na hata kuanza kwa kukipa maji au maziwa kabla hajakifikisha kituoni. uzito wa dhambi YAKE ulimwingia kichwani pale dunia ilipohoji WHAT HAPPENED TO THE LITTLE GIRL. Gazeti la New York Times lilijitahidi kudanganya kuwa mtoto alifika kituoni lakini haikumsaidia Kevinnajiuliza swali moja tu,HV kwann hakumchukua MTT? alikua anafikiria nn?
Asante mkuu kama umeniwahi nami nilitaka kuweka hii Pic kuonyesha ujinga wa watu kushangilia matatizo ya watu bila kutoa msaadanimeweka hii kuthibitisha unachoongea naomba nisifikiriwe vibaya![]()
WanaJF,
Miaka kama ishirini iliyopita (1993), mwandishi mmoja wa Afrika kusini Kevin Carter, alibahatika kuwa kwenye tukio la namna yake. Kijitoto cha kiafrika kilichokuwa kina jitahidi kuifikia kambi ya kutoa chakula cha msaada wa njaa nchini Sudan kilikuwa kikinyemelewa na tai mla mizoga ili akile kikisha kufa. Huyu mwandishi-mpiga picha alinyemelea scene hii na na kupiga picha na kisha kumfukuza huyu tai naye (Kevin) akaondoka. Hii picha ilimletea zawadi ya Pulitzer ilipochapishwa na The New York Times. Lakini Kevin alilaumiwa na karibu ulimwengu mzima kuwa alimtumia huyu mtoto ili kutafuta umaarufu kama mpiga picha bila kumsaidia huyu mtoto japo kumfikisha kituoni. Hizi lawama zilimfanya ajiue miezi michache baadae.
Mwasemaje wanajamvi, Jee, Kevin alikosea?
The vulture and the little girl
The vulture and the little girl, 1993
The vulture is waiting for the girl to die and to eat her. The photograph was taken by South African photojournalist, Kevin Carter, while on assignment to Sudan. He took his own life a couple of month later due to depression.
This was his suicide note; very depressing:
“I am depressed … without phone … money for rent … money for child support … money for debts … money!!! … I am haunted by the vivid memories of killings and corpses and anger and pain … of starving or wounded children, of trigger-happy madmen, often police, of killer executioners … I have gone to join Ken [recently deceased colleague Ken Oosterbroek] if I am that lucky.”
The suicide: On 27 July 1994 Carter drove to the Braamfontein Spruit river, near the Field and Study Center, an area where he used to play as a child, and took his own life by taping one end of a hose to his pickup truck’s exhaust pipe and running the other end to the passenger-side window. He died of carbon monoxide poisoning, aged 33
isome;The vulture and the little girl
Ki madili ya uwandishi huyu mpiga picha yuko sahihi kupiga picha hvyo ndivyo uwandishi unamtaka awe.WanaJF,

Kwa hiyo haruhusiwi kutoa msaada wa uokozi?Ki madili ya uwandishi huyu mpiga picha yuko sahihi kupiga picha hvyo ndivyo uwandishi unamtaka awe.
Ila hawa wa Tz wanopiga pic badala ya kusaidia ni kuingilia fani isiyo yao ya uandishia
Maumivu makali sana hayaBaada ya habari kuifikia dunia kuwa yule mtoto aliliwa na yule Tai! Watu toka kote duniani wakaanza kumshutumu kuwa Tuzo na umaarufu wake aliupata kwa damu, na kwamba damu ya yule mtoto ipo mikononi mwake!
Ken alimfukuza Tai baada ya kupiga picha. Na mtoto aliishi miaka 14 zaidi. Alipona utapiamlo. Akafa kwa Homa. Jina la huyo mtoto ni long Nyong. Ken alietajwa kwenye uJumbe alouwacha ken ni mfanya kazi mwenzake aliefariki sio muda mrefu kipindi hicho. Ken oosterbroekKuna sehemu niliisoma hii habari, hakukua na maelezo yakua Kevin alimsaidia huyo mtoto baada ya kupiga picha
Jina la mtoto ni Kong Nyong*Ken alimfukuza Tai baada ya kupiga picha. Na mtoto aliishi miaka 14 zaidi. Alipona utapiamlo. Akafa kwa Homa. Jina la huyo mtoto ni long Nyong. Ken alietajwa kwenye uJumbe alouwacha ken ni mfanya kazi mwenzake aliefariki sio muda mrefu kipindi hicho. Ken oosterbroek
Hapana. Aliishi miaka 14 na hakuliwa na Tai. Na wala mpiga picha hakujiuwa kwa sababu ya huyo mtoto bali kwa sababu zake binafsi. Na Jina la mtoto lilikua Kong Nyong.She died already. Mpiga picha naye alipoona alipiga picha na kumuacha bila kumsaidia naye inasemekana alijiondoa duniani, maana ilizunguka sana na akaambia 'yule mtoto uliyempiga picha na kumuacha alikufa na kuliwa na tai' baada ya wewe kumuacha.
Not true. It was taken in Sudan. The child lived 14 years more and died of feverthe photo was taken in somalia during the 90s, the lad was crawling towards a UN food supplying camp while the vulture was waiting for him to die so the it could get its meal.
the photographer committed suicide few months after the incidence because the memory disturbed him/her very much and couldn't live with such a disturbing memory in his/her head.
the photo won the Pulitzer prize!!!!!!!!!:sad: