Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 643
ahaa nimeipenda sana topic hii.kweli huko ni kama jela. mfano kila siku kuamka saa 9 za usiku kwenda kusambaza magezeti. nikimaliza shule nitarudi.
A'fu mnajiuliza kwa nini hatuendelei?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaa nimeipenda sana topic hii.kweli huko ni kama jela. mfano kila siku kuamka saa 9 za usiku kwenda kusambaza magezeti. nikimaliza shule nitarudi.
MNDEE thank you very much, huu ndio ukweli, na hakuna wa kuupinga hata kidogo... Lakini unadhani kuna memba humu JF asiyejua hayo?? Kwa stahili yetu na maisha yetu, na shida zetu hapa bongo, kuna mtu kweli mpaka anafungua email account hayajui haya?
Ni kauchokozi fulani kanafanyika halafu tunadandia treni kwa mbele na kuchapwa na upepo
Hizi nyingine ni chachandu ndugu yangu, zinapita na zinarudi!!
nipo mkuu...hawa hili crew la wabeba box bado wanafikiria tunaishi kwenye viota.....Mtaalamu upo? karibu wape mafact wana.
20k kwa mwezi plus marupurupu (car,house,and all other expesnses)Hi wakurugenzi na mameneja wa mauzo na masoko na vitu vingine kwenye makampuni ya simu, benki, ngo's n.k.... kwenye corporate market ya bongo wanakusanya ngapi kwa mwezi....kwa wastani..tuanzie hapa kwanza...kama una data weka hapa..
20k kwa mwezi plus marupurupu (car,house,and all other expesnses)
Kelly01 acha mama,
Yaani mishahara kwa wakurugenzi wa idara na mameneja wa idara bongo imefikia kiasi hiki?..unauhakika kweli...kama hivyo haijakaa vibaya basi.
MJ....Si unajua Tanzania it's all about kujuana... kama mtoto wa kabwela hutalala mumo humo kazi kama hizo hupati unless customer service... ambayo utaishia kulipwa laki mbili na nusu kwa mwezi....Duh...Basi itabidi uwe na connections za hatari kupata kazi sehemu hizo...mishahara hiyo siyo mibaya hata kidogo
MJ...Real talk!!!!....
Then rudi kafungue ile kitu kumbe hela ipo.
MJ....Si unajua Tanzania it's all about kujuana...kama mtoto wa kabwela hutalala mumo humo kazi kama hizo hupati unless customer service.....ambayo utaishia kulipwa laki mbili na nusu kwa mwezi....
MJ....Si unajua Tanzania it's all about kujuana... kama mtoto wa kabwela hutalala mumo humo kazi kama hizo hupati unless customer service.....ambayo utaishia kulipwa laki mbili na nusu kwa mwezi....
Si kweli, mimi nili aply kazi na sikumjua mtu yeyote waliangalia performance yangu na vyeti vya shule, sikatai hio ipo ila kwa private co.s sio sana.
Nawakilisha
Kwa life ya Tanzania sasa hivi mtu unamlipa that amount jamani eeh hapo hajalipa rent ya nyumba,nauli ya beck and forth kazini (commute), chakula na mavazi na hapo ukute ana mtoto...Ukweli mtupu kuna kipindi niliwahi tembelea kampuni moja ya simu nilikuwa nataka line...nikapiga story na madada wa customer care waliniambia walikuwa wanapata laki tatu na nusu(about 5/6 years back)....hii tofauti ni kubwa sana....
Si kweli, mimi nili aply kazi na sikumjua mtu yeyote waliangalia performance yangu na vyeti vya shule, sikatai hio ipo ila kwa private co.s sio sana.
Nawakilisha