Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

wee ulidhani mimi natania...nimeona kuna potential kule ya kutengenezahela...watu wanahonga sana pale maisha kupata wale cheap hookers ndiyo maana nataka kuwatengenezea kitu kama kile ili waje waniletee miye zile hela na nchi pia itafaidika maana si watanikata kodi...

Wewe weka zile babu kubwa hispanyola, karibeanz zile safisafi...watu hela wanayo sasa.
 
rudini home watoto wa mama!
huku hadi SIX-HAMMERS wabongo wanaziendesha kama kawaida...!na hakuna anaeshangaa
 
bongo tambarare............................
 
rudini home watoto wa mama!
huku hadi SIX-HAMMERS wabongo wanaziendesha kama kawaida...!na hakuna anaeshangaa

Mimi nilidhani utatoa mfano wa maana unatoa mfano wa magari?... those are material stuff vina depreciate the moment umeitoa at the dealership or bandarini ...

I thought utasema something valuable kama kuna investment za kumwaga something more important than material stuff......huko ndiyo kuendelea? na hiyo ndiyo sababu ya mtu kurudi bongo kisa kuna hammers? wooo.... we have long way to go....
 
ile FERRALI ya christiano ronaldo,ambayo ni gumzo ulaya nzima hapa dar tayari zipo!tena wanaendesha waswahili tu!weusi tii kama wewe kelly!hivyo ni viashiria tu kwamba bongo mambo mpeto!

ninyi kaeni weeeeeeeeeeeee,mkirudi leteni vi-cv na vyeti vya kufoji tuwatafutie pa kuwapachika!nauli tutawapa za daladala
 
Mimi nilidhani utatoa mfano wa maana unatoa mfano wa magari?... those are material stuff vina depreciate the moment umeitoa at the dealership or bandarini ...

I thought utasema something valuable kama kuna investment za kumwaga something more important than material stuff......huko ndiyo kuendelea? na hiyo ndiyo sababu ya mtu kurudi bongo kisa kuna hammers? wooo.... we have long way to go....

Mama, hata ma-investments yapo tena ndio kasi yake inapamba moto... NYie njooni mchukue ardhi halafu muendelee kuwekeza hata mkiwa wapi!!! in 5 years tutapata tabu sana ya ardhi, hakikisheni mnanunua maana warabu na wachina washaanza kuhonga baadhi ya african leaders kununua nchi zao kwa gear ya kilimo
 
MTM...Miye tayari nina land njombe na nimesha invest vya kutosha kwenye mbao na chai....na hiyo bado naona haitoshi....i know kuna investment kibao ila the guy yeye anaongelea cars.....na kushauri watu warudi bongo kisa kuna watu wanaendesha hammers...what the hell~......hiyo ni advice ya kumpa mutu?....
 
wengine hawarudi mpaka tutume nauli!......😀

right!....and why don you do that Mr hammer man..since you r doing big!.....kama unataka kumsaidia mtu wewe msaidie kw amoyo na siyo kumsengenya...maneno ya mkosaji hayo.....
 
bongo panalipa bana!ni shule na akili yako tu...!

home sweet home.

wewe nunua hayo mashamba lupembe,sijui matiganjola,ludewa,kibena na popote pale wabena na wahehe tutakuona mjanja!

naweza kufanya zaidi ya hicho unachofanya nikiwa dar!
 
bongo panalipa bana!ni shule na akili yako tu...!

home sweet home.

naweza kufanya zaidi ya hicho unachofanya nikiwa dar!

Maisha ni popote pale siyo lazima Dar!.....inaelekea upeo wako wa kufikiria ni mdogo sana na bado haujawa exposed....since unaona kuwa ume win maisha kwa laki mbili na nusu unazolipwa basi maisha umeyapati amwenyewe...big up to you dude!....

Mimi na wewe ni watu tofauti and we think different too!.....we don't have common denominator and no comparison between us....as a woman i think diferent from you and i think bigger....keep in mind no t big it's bigger!>....and again Bigger!....

READ MY WORDS VERY CAREFULLY....
 
unanunua eka kumi njombe unaona una hela?

njoo ununue eka moja posta hapa!😀
 
Natanguliza pongezi zangu kwa mtajwa hapo juu ambaye alikuwa mbeba MABOX maarufu huko USA, na mambo yalivyozidi kubana akarudi nchini, kafanya mambo makubwa kwenye mitandao ya simu nchini kwa kubuni extreme promo ambazo zimempa sifa.

Ombi langu kwa mliobakia huko nasikia kuwa mnateseka sana na hela mlizopewa za stimulus package zimeisha ila mnajiuliza mtarudije... rudini tu kama mlivyoondoka huku mkiwa na hicho ki-slang cha kuch kuch gut gut wanna wanna gonna gonna, wit wit mtatoka tuu, makampuni yanachanganyikiwa sana na hilo swala hawajalishi vyeti just come home, sweet home....

Karubuni sana.

angry.gif
 
20k kwa mwezi plus marupurupu (car,house,and all other expesnses)

crdb na bank zingine, na makampuni mengi ceo wao wanapata 12M - 15m per month, only TBL and NMB pays their ceos above 15m.

note: majority of ceo's in big companies are not tanzanians

ceo's ambao sio waTZ wanalipiwa nyumba, lakini waTZ hawalipiwi
marupurupu mengine kwa ajili ma ceo wote ni bodi members wa kampuni zao na hela za malipo kwa ajili ya bodi zina range from (3.6m - 12m)per year.

kwa hiyo wakurugenzi wa idara ni kidogo zaidi ya hapo
dada 20m thats way above the mark
 
Sem...still hiyo bado ni pesa nyingi don;t you think?..na bado wanapewa na marupurupu mengine mengi tuu....kulinganisha na mtu anayelipwa kima cha chini....kama pale tanzania postal bank mtu wa kima cha chini as karani analipwa tsh 250,000 kw amwezi hapo ana watoto 2 nyumba ya kupanga and stuff like that imagine na life ya tanzania ambayo mkate mtu ananunua kwa tsh700.00,Soda tsh 50.00,nyama kilo tsh 4,000,maziwa ya kopo t sh 700.00 a;afu mtu analipwa tsh 250,000 kwa mwezi hata saving account hana...checking aacount lazima iwe na insuffient funds.... na hao wakurugenzi ndiyo wanakura raha tuu kiyoyozi 24/7 they dont care about shit....alafu unasema bongo tambarare....
 
Unafikiri kila mtu akirudi atapata bahati kama ya Twisa? na unafikri kila mtu aliyekuwa nje ya tanzania anateseka? Kama kweli umeridhika na maisha yako hawa watu wanaoteseka nje ya nchi wasingechukua mda wako wakuweka post hii humu.
 
Sem...still hiyo bado ni pesa nyingi don;t you think?..na bado wanapewa na marupurupu mengine mengi tuu....kulinganisha na mtu anayelipwa kima cha chini....kama pale tanzania postal bank mtu wa kima cha chini as karani analipwa tsh 250,000 kw amwezi hapo ana watoto 2 nyumba ya kupanga and stuff like that imagine na life ya tanzania ambayo mkate mtu ananunua kwa tsh700.00,Soda tsh 50.00,nyama kilo tsh 4,000,maziwa ya kopo t sh 700.00 a;afu mtu analipwa tsh 250,000 kwa mwezi hata saving account hana...checking aacount lazima iwe na insuffient funds.... na hao wakurugenzi ndiyo wanakura raha tuu kiyoyozi 24/7 they dont care about shit....alafu unasema bongo tambarare....

Mtu kama huna data ni bora ukae kimya most CEO tena ambao sio wabongo they get US$ 10k-15k and very few above that. wabongo waCEO wanapata btn 4m-10m everything inclusive. Sasa hao wakurugenzi masoko na PR iweje wapate 20k per month kwa nini hasa wanachofanya?

You can travel all around the world, have all the money but still remains with poor mind and soul.
 
sasa ww uliyekuwa na data si utoe data zako...maana unabisha bila kutoa data zako.....ndiyo wale wale bendera kufuata upepo...
 
Kelly01,

Nimajaribu kupigia simu wadau kadhaa, wanadai bongo mishahara ya head of departments/mameneja wa idara/wakurugenzi wa idara kwenye kampuni nyingi binafsi zile kubwa kama mawasiliano, madini, banking NGOs ni 3k-5k not more, jamaa walionipa data ni wadau katika sekta hizo na ni watu makini sana.

Wamedai wakurugenzi wakuu wa sekta hizo nilizotaja wanapata < 10k kwa wabongo na < 20k kwa wageni.

MJ
 
sasa ww uliyekuwa na data si utoe data zako...maana unabisha bila kutoa data zako.....ndiyo wale wale bendera kufuata upepo...

Data gani unahitaji zaidi ya hizo hapo juu? Read betwen the 'legs' sugar and try to open up your bold eyes and see the hell around!
 
Back
Top Bottom