Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
wee ulidhani mimi natania...nimeona kuna potential kule ya kutengenezahela...watu wanahonga sana pale maisha kupata wale cheap hookers ndiyo maana nataka kuwatengenezea kitu kama kile ili waje waniletee miye zile hela na nchi pia itafaidika maana si watanikata kodi...
rudini home watoto wa mama!
huku hadi SIX-HAMMERS wabongo wanaziendesha kama kawaida...!na hakuna anaeshangaa
Mimi nilidhani utatoa mfano wa maana unatoa mfano wa magari?... those are material stuff vina depreciate the moment umeitoa at the dealership or bandarini ...
I thought utasema something valuable kama kuna investment za kumwaga something more important than material stuff......huko ndiyo kuendelea? na hiyo ndiyo sababu ya mtu kurudi bongo kisa kuna hammers? wooo.... we have long way to go....
Mama, hata ma-investments yapo tena ndio kasi yake inapamba moto... NYie njooni mchukue ardhi halafu muendelee kuwekeza hata mkiwa wapi!!! in 5 years tutapata tabu sana ya ardhi, hakikisheni mnanunua maana warabu na wachina washaanza kuhonga baadhi ya african leaders kununua nchi zao kwa gear ya kilimo
wengine hawarudi mpaka tutume nauli!......😀
right!....and why don you do that Mr hammer man..since you r doing big!.....kama unataka kumsaidia mtu wewe msaidie kw amoyo na siyo kumsengenya...maneno ya mkosaji hayo.....
bongo panalipa bana!ni shule na akili yako tu...!
home sweet home.
naweza kufanya zaidi ya hicho unachofanya nikiwa dar!
Maisha ni popote pale siyo lazima Dar!.....inaelekea upeo wako wa kufikiria ni mdogo sana na bado haujawa exposed....since unaona kuwa ume win maisha kwa laki mbili na nusu unazolipwa basi maisha umeyapati amwenyewe...big up to you dude!....
Mimi na wewe ni watu tofauti and we think different too!.....we don't have common denominator and no comparison between us....as a woman i think diferent from you and i think bigger....keep in mind no t big it's bigger!>....and again Bigger!....
READ MY WORDS VERY CAREFULLY....
Natanguliza pongezi zangu kwa mtajwa hapo juu ambaye alikuwa mbeba MABOX maarufu huko USA, na mambo yalivyozidi kubana akarudi nchini, kafanya mambo makubwa kwenye mitandao ya simu nchini kwa kubuni extreme promo ambazo zimempa sifa.
Ombi langu kwa mliobakia huko nasikia kuwa mnateseka sana na hela mlizopewa za stimulus package zimeisha ila mnajiuliza mtarudije... rudini tu kama mlivyoondoka huku mkiwa na hicho ki-slang cha kuch kuch gut gut wanna wanna gonna gonna, wit wit mtatoka tuu, makampuni yanachanganyikiwa sana na hilo swala hawajalishi vyeti just come home, sweet home....
Karubuni sana.
20k kwa mwezi plus marupurupu (car,house,and all other expesnses)
crdb na bank zingine, na makampuni mengi ceo wao wanapata 12M - 15m per month, only TBL and NMB pays their ceos above 15m.
note: majority of ceo's in big companies are not tanzanians
ceo's ambao sio waTZ wanalipiwa nyumba, lakini waTZ hawalipiwi
marupurupu mengine kwa ajili ma ceo wote ni bodi members wa kampuni zao na hela za malipo kwa ajili ya bodi zina range from (3.6m - 12m)per year.
kwa hiyo wakurugenzi wa idara ni kidogo zaidi ya hapo
dada 20m thats way above the mark
Sem...still hiyo bado ni pesa nyingi don;t you think?..na bado wanapewa na marupurupu mengine mengi tuu....kulinganisha na mtu anayelipwa kima cha chini....kama pale tanzania postal bank mtu wa kima cha chini as karani analipwa tsh 250,000 kw amwezi hapo ana watoto 2 nyumba ya kupanga and stuff like that imagine na life ya tanzania ambayo mkate mtu ananunua kwa tsh700.00,Soda tsh 50.00,nyama kilo tsh 4,000,maziwa ya kopo t sh 700.00 a;afu mtu analipwa tsh 250,000 kwa mwezi hata saving account hana...checking aacount lazima iwe na insuffient funds.... na hao wakurugenzi ndiyo wanakura raha tuu kiyoyozi 24/7 they dont care about shit....alafu unasema bongo tambarare....
Mtu kama huna data ni bora ukae kimya most CEO tena ambao sio wabongo they get US$ 10k-15k and very few above that. wabongo waCEO wanapata btn 4m-10m everything inclusive. Sasa hao wakurugenzi masoko na PR iweje wapate 20k per month kwa nini hasa wanachofanya?
You can travel all around the world, have all the money but still remains with poor mind and soul.
sasa ww uliyekuwa na data si utoe data zako...maana unabisha bila kutoa data zako.....ndiyo wale wale bendera kufuata upepo...
sasa ww uliyekuwa na data si utoe data zako...maana unabisha bila kutoa data zako.....ndiyo wale wale bendera kufuata upepo...