Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hao mnaowasema "wameamua" kurudi bongo wenyewe hawajaamua kihivyo, ni circumstances tu. Sema siwezi kuingia katika detail za private individual na maisha yake, it's simply not fair. Watu wa Ohio probably wanajua ninachoongea.
Nimesikia kuna moja wa Ohio not long ago naye wazee wamemrudisha...sijui ndo huyo unayemzungumzia...
Nyie mwaogopa nini kusema Kelvin katolewa nduki USA..! Tupo Dar tumeshasikia habari zake muda mrefu.
Kufanya kazi Tigo kwani issue ? Wapo ma sister duu kibao tunawajua na elimu zao za secondary ambao wanafanya kazi kwenye hizo kampuni za simu.
Acheni unafiki, vijana wapo na maisha yao na sisi tuendelee kusurubiwa Bongo, Kila kukicha ni skendol mpya.
Uongo hakutolewa nduki USA,
kweli bana!You have said the truth! Wivu bana!
Thanks na yeye ajitahidi tutamwazishie thread yake na vilevile akiendelea kuwa hater tutamwanzishia ya kwake if u cant make the history positive then make it negative.
what mattaaz ni histori............Thanks na yeye ajitahidi tutamwazishie thread yake na vilevile akiendelea kuwa hater tutamwanzishia ya kwake if u cant make the history positive then make it negative.
Hapo nilipo-bold ndio point hasa, wabongo tuna wivu hata wa kuweza kumtafuna mtu mzima mzima!.Baada ya kusoma makala yote hii kwa utaratibu nimegundua watanzania tuna sifa kuu nne:-
1. Watanzania tunapenda umbeya na kufatiliana huyu kafanya hili yule kafanya hilo alimradi anafatilia maisha ya mwenzie. Waswahili wanasema ukiona ukiona kwa mwenzio kunaungua kwako kunateketea.
2. Watanzania hatuna mtazamo wa mbali (short-sited) hili linasababishwa na kukosekana na critical thinkers. Kwamfano kuna tatizo gani mtu akibeba boksi na mwengine akiwa ofisini (to me there is no difference if both of them are doing something.).
3. Generalization ni kitu kibaya sana mafanikio ya Warren Buffet si kila mtu anaweza kuyafikia kuna factors nyingi zinazochangia kufikia huko hivyo basi msimuangalie Kevin Twisa eti mkalinganisha na Juma Mchongaviatu nadhani pangelikuwa na figures za wabongo waliofanikiwa tanzania.
4. Wivu ni kitu kibaya sana wewe kama umefanikiwa tanzania na yule amefanikiwa USA ni kila mtu maisha yake. Kuna msemo unasema Hasidi hawi bwana hivyo mtu mwenye kijicho au wivu hafanikiwi maisha sana sana ataishia kuiba tu ajionyeshe naye yumo katika waliofanikiwa.
In summary watanzania tusiwe bias whether mtu yupo ulaya au bongo kila mtu na maisha yake. Njia za kwenda university of dar-es-salaam ni nyingi kuna mwenge, ubungo, porini,etc. but zote zinafika UDSM hivyo msipende kuwapangia watu maisha yao kama yenu yamewashinda
Hapo nilipo-bold ndio point hasa, wabongo tuna wivu hata wa kuweza kumtafuna mtu mzima mzima!.
Si nilikwambia kaka. Wabeba mabox hata kiswahili wanajifanya hawakijui.