Baada ya kusoma makala yote hii kwa utaratibu nimegundua watanzania tuna sifa kuu nne:-
1. Watanzania tunapenda umbeya na kufatiliana huyu kafanya hili yule kafanya hilo alimradi anafatilia maisha ya mwenzie. Waswahili wanasema ukiona ukiona kwa mwenzio kunaungua kwako kunateketea.
2. Watanzania hatuna mtazamo wa mbali (short-sited) hili linasababishwa na kukosekana na critical thinkers. Kwamfano kuna tatizo gani mtu akibeba boksi na mwengine akiwa ofisini (to me there is no difference if both of them are doing something.).
3. Generalization ni kitu kibaya sana mafanikio ya Warren Buffet si kila mtu anaweza kuyafikia kuna factors nyingi zinazochangia kufikia huko hivyo basi msimuangalie Kevin Twisa eti mkalinganisha na Juma Mchongaviatu nadhani pangelikuwa na figures za wabongo waliofanikiwa tanzania.
4. Wivu ni kitu kibaya sana wewe kama umefanikiwa tanzania na yule amefanikiwa USA ni kila mtu maisha yake. Kuna msemo unasema Hasidi hawi bwana hivyo mtu mwenye kijicho au wivu hafanikiwi maisha sana sana ataishia kuiba tu ajionyeshe naye yumo katika waliofanikiwa.
In summary watanzania tusiwe bias whether mtu yupo ulaya au bongo kila mtu na maisha yake. Njia za kwenda university of dar-es-salaam ni nyingi kuna mwenge, ubungo, porini,etc. but zote zinafika UDSM hivyo msipende kuwapangia watu maisha yao kama yenu yamewashinda