Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Dude chill down! This is way off point and a straight up overkill as far what this thread is all about. What's all this Hitler and "virtuous soliloquoy nationalistic ideals" got to do with Kelvin Twisa?
The thread keeps evolving with each post.I was responding to sentiments expressed in the quoted post, if you can counter that view counter, if you have half a birdbrain and cannot comprehend you are the one to chill.
 
Haya maswali 'Umelifanyia nini taifa" lol kuna watu taifa halijawafanyia chochote zaidi ya kuwapa mifrustration.

Mtani,

I said it and kwangu nilikuwa naangalia upande mmoja tu! returning to the society... it was simple, tangu wadogo tulianza na kusaidia mama home [hata kama alikuwa kichaa] kusaidia baba [hata kama alikuwa mlevi wa kupindukia], tulipoenda shule tulifagia na kuosha vyoo, vyuoni tulianza kupeleka nguo zilizotubana nyumbani na hadi leo tunachangia ndugu zetu. some of them dont deserve anything because of their acts!!

ni kweli taifa letu linaudhi na sometimes tumejitakia matatizo mengi tu kutokana na ukosefu wa upeo kwa baadhi ya watu wenye critical positions. Sasa je huoni kwamba kukejeli bongo ni sawa na ile hadithi ya bilblia ya mabinti waliomcheka baba yao aliyelewa akakaa uchi!!! Na pia kukejeli aliye nje akitafuta, kwangu ni sawa na kumtukana mtoto uliyemtuma akawinde aje mle!!!! THATS WHY I SAID I DONT LIKE NEGATIVITY!!!!!!!!!!!!!

Naomba kusema kwamba you have more that enough potential to contribute and build our nation [anyhow] kwa kuwa nje - kama akina MMMKJ et al. na hiyo ndiyo ilikuwa dhima yangu!!! alas, some who happen to be brighter than light took a swipe and started dramatising!!!

BTW, we have gone four matches without a win utasikia weekend hapo either fangason achapwe au rafa afunge payeya zake aishie!!!
 
Ndugu yangu mbona unakuwa mkali....Ni ukweli usiobishika kwamba majority wa watanzania wanaoishi huko mnakokuita kiwanjawanafanya kazi ya kupiga box na kuishi maisha duni japo kuna wachache wanaofanya kazi professional. Usiwe mkali ndugu yangu tunataka kukusaidia tu urudi nyumbani ule pipi nawewe ila kama huna elimu na unajisifu na kingereza baki huko huko upige box lako. Kuhusu mambo ya kujuana asikudanganye mtu siku hizi hilo swala bongo nia kama halipo kwenye private companies ambazo ndio waajiri wakubwa ni kama halipo kabisa, people want result ndugu yangu na anayekuajiri perfomance yake itapimwa kutokana na wewe aliyekuajiri unavyoperform so i dont see the point ya yeye kukufavour.kuna vijana wengi waliomaliza masomo yao sehemu mbali mbali na hawamjui mtu yeyote but the are doing fairly good ...
 
bluray

no matter what is being discussed here jaribu kuepuka kuonyesha mambo yasiyoendana na unavyoji-portray humu jamvini... An intellect, bright blah blah blah... Umelifanyia nini taifa na wewe?

Some comments are uncalled for

tusikashifiane bali tuonyeshane opportunities and threats za mazingira yote mawili

niko bongo huko kwenu kulinishinda lakini sijuti na siwalaumu mlio huko

ninacholaumu ni negativity

heshima mbele mkuu
 
mbona sielelewi elewi ,nipo kwenye matata????
kevin twisa ndio nani? wabongo kwa mambo?
 
Kwa kweli ung'eng'e si issue tena hapa nyumbani...na vyeti vyenu vya vyuo vya ubabahishaji huko ni kazi kweli kweli....
 
MTM, I appreciate your equanimity and patriotism.

Lakini haya mambo ya kuheshimu nchi ingawa ni mazuri, yako optional. Kuna watu wameteseka sana bongo washaapa watarudi likizo tu, no matter the stories kuhusu kubeba box, wengine washachukua uraia, wengine wana permanent residency, wamefanyia kazi sana hizi permits, na bongo wanaona wakiamua kurudi hata kama vikazi vipo havilipi, na hata kama vinalipa ni vichache na hakuna a general security in employment, wanaweza kuharibu ajira kwa watu walioko huko, kwa hiyo wanaona poa tu kubaki huku.

Kuna mchangiaji mmoja kasema wabeba box halisi hawana muda wa kupoteza hapa (schedule) na wala vumbi wenyewe hawana budget na resources za kubishana post after post.

Hapa tukiongelea wabeba box na wala vumbi sana sana tutakuwa tunaleta uzushi au kuwaongelea watu tu.Kuna watu kutwa kucha wako hapa, box wanabeba saa ngapi?

In any case, kama una mtu unamjua anapoteza muda katika kubeba box na wewe una mchongo wa kazi anayoweza kuifanya kwa ufanisi -sio generally speaking "watu warudi bongo"- mpe mchongo na muite bongo, kama ana interest atakushukuru.

Otherwise, watu wakija hapa na hizi story mi nitaona ni kijiba tu.Mguu wa msafiri umeombewa hata na mitume. Hata waswahili walisema "Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu", kwa hiyo wengine upwa wao upo upande wa pili wa bahari.
 
Will the real Bluray just stand up!!???
Yeah this is the one, Gademu!!!
Thats you... Pamoja sana

I appreciate what you have said, you are the man na tuko pamoja sana
A real man take it to the chin, return favors and move on walking tall

We are a mere representative of societies
I respect whoever fights for things he want no matter how many miles one travels to achieve...

Much respect na tuko pamoja kama vumbi na box!!!!
 
The thread keeps evolving with each post.I was responding to sentiments expressed in the quoted post, if you can counter that view counter, if you have half a birdbrain and cannot comprehend you are the one to chill.

Admit it Mr Know-It-All, you just got carried away right there! Seems obvious to me your deluded mind somehow led you to believe Hitler and "virtuous soliloquies" or whatever, should have their place in a simple discussion like this. Keep it simple and relevant dude, instead of trying hard to impress people with your fake intellect and pompous use of the English language.
 
admit it mr know-it-all, you just got carried away right there! Seems obvious to me your deluded mind somehow led you to believe hitler and "virtuous soliloquies" or whatever, should have their place in a simple discussion like this. Keep it simple and relevant dude, instead of trying hard to impress people with your fake intellect and pompous use of the english language.

igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Kwa kweli ung'eng'e si issue tena hapa nyumbani...na vyeti vyenu vya vyuo vya ubabahishaji huko ni kazi kweli kweli....
vyuo vya ubabaishaji huku majuu ni bora mara mia kuliko vivyuo vyenu hapo...watu kazi kukariri tu definition na theories istead of how they can be applied in real life.
Thats why,kanchi ketu kako nyuma wasomi wengi wamepitia vyuo vya kukariri theories/definitions.
........ndio hio.
 
Wewe nawe naona unaleta mauza uza sasa... Haya yamekujaje humu?? Jama alikuwa anazungumzia vumbi na maboksi mazee
 
Wewe nawe naona unaleta mauza uza sasa... Haya yamekujaje humu?? Jama alikuwa anazungumzia vumbi na maboksi mazee
Mbeba mabox hata asipoenda shule but ile kukaa tuu huku majuu na kufanya hizo kazi akija hapo bongo "Uelewa wake"- exposure" unamshinda hata huyo graduate wa hapo sijui udsm/udom et al.
Nimekuja huko last month,kuna wasomi koko wengi sana kazi yao kunywa pale ka-mlimani city wanaona wametokaaa,HOVYOOOOO! huku kanchi umeme wa mgawo,maji ndoo, security zero yaani uvundo kibao.
Badala ya kudiscuss matatizo yao lukuki kila siku ooh wabeba mabox hivi/hivyo, wenzenu wako juu.kuleni sumu basi ikibidi.
 
Admit it Mr Know-It-All, you just got carried away right there! Seems obvious to me your deluded mind somehow led you to believe Hitler and "virtuous soliloquies" or whatever, should have their place in a simple discussion like this. Keep it simple and relevant dude, instead of trying hard to impress people with your fake intellect and pompous use of the English language.

Chukua tano mkuu!
 
Nakushukuru sana kueleza live experience ya ndg zetu wengi waishio huko, watu wanafikiri nilianzisha hii thread kwa vile nawaonea wivu la hasha robo tatu ya familia yetu wapo huko, na 1 ame graduate MA HAVARD UN. na anauza mikate mitaani, ni mfano tu wapo wengi wanaelimu ila wanadai bongo jua kali na sababu zisizo za msingi.

Kwa yeyote ambaye anaona maisha ni mazuri kwake aliyoko huko asitukane hapa au kukashfu kama baadhi wanavyofanya saiidieni wenzenu huko nao wapate uhaueni....

Komredi hebu tusikizane kidogo...! Ujambazi, Tatizo la umeme, ukitaka ice cream mpaka umpige mtu simu umulizie kwa mhindi gani ana generator waweza pata juice ya ukwaju,huduma mbovu maofisini ,hospital na sehemu zingine, Ufisadi ,Unyanyasaji wa haki za binadamu kama kuchomewa makazi yao, Mauwaji yafanywayo na askali Polisi Bado tu mkuu hizo si sababu za msingi za kumfanya mtu ahamie kwenye kichumba kimoja cha watu 6 kule USA kwenye amani ? Msiwadanganye ndugu zetu..

Tanzania tuna hali mbaya na tutaendelea kuwa na hali mbaya. Mwenye kuona wakati wake wa kurudi nyumbani kuendeleza gurudumu arudi kwa wakati wake na si kwa shinikizo la maneno ya watu .

NGULI !!!!!UJUMBE WAKO UMEKAA KIMBEA MBEA KAMA WA KABINTI KENYE KUANZA KUOTA VIMATITI. Wewe mbona hufanyi kama Kelvin wataka wenzio warudi ili wakufanyie wewe ?

Njooni uwanja wa fisi tule pua za nguruwe kwanza..Acheni vijana waishi maisha yao.
 
Admit it Mr Know-It-All, you just got carried away right there! Seems obvious to me your deluded mind somehow led you to believe Hitler and "virtuous soliloquies" or whatever, should have their place in a simple discussion like this. Keep it simple and relevant dude, instead of trying hard to impress people with your fake intellect and pompous use of the English language.

There are different people subscribing to different ideologies along different spheres of each one of these ideologies, so it is astonishing for you to ascribe the bounds of discussion on this free forum, how do you determine what is relevant and what is not? What are the rules of staying on topic and not diverging, if at all the forum is to inject some meaningful interactions? Are you going to limit people to talking about Kevin too, no mention of another name? After all the thread is about Kevin Twisa.

As I pointed out before, any attempt to regulate the flow of discussion is akin to herding cats.The very nature of these fora is organic, by engaging in this futile exercise, you are just exhibiting your totalitarian tendency that cannot take discussion toe to toe, believe in restrictions instead of the free flow of information and therefore is inherently bound to fail.

A caomparing example in some degree of pomposity was made between me and that notable Indian racist. While I do not subscribe to his racist views, I have some topics that I hold very close to my heart, two of these topics happen to be the entire enterprise of "nationalism" and the whole supernatural/religion/god business. I am totally against the two and do not be surprised If I go full force Battlestar-Gallact-cosmic-abstract on any thread,at any time at the mere mention of any one of these.And that does not mean these are the only ones.If you can counter the points you are welcome, but stop bytching and whining just because people express themselves in a mode you are possibly too challenge to comprehend or if you comprehend, you condescend these fora as being too feeble minded to understand, hence accusing me of doing "overkill"

You are damn right I'm doing overkill. Tanzania, and therefore tehse fora, need some overkill.

When someone talking in perfectly normal, if a bit poetic, english is branded to be trying to hang in the stratosphere, you are damn right it is time to do overkill till everybody raise the bar.

When you have a president that goes live on national media to say that mining accidents caused by negligence just to cite one example, are the work of god, somebody has to do overkill.

My feeling is this "overkill" is a sign of an intensity which you and many Tanzanians are not accustomed to. And this is precisely the reason we do not attain a sufficiently satisfying level of development, because we are so complacent, and if someone is deviating from some light banters and ded ended posts about Kevin, and dropping a bomb that requires some critical thinking and challenging conventional assumption, one is branded as doing overkill and trying to impress.

Who am I impressing with an assumed internet alias? Seriously, really?
 
Ahahahahahaha....Bluray, is it really necessary to be that long winded? Why not just keep it pithy?
 
Ahahahahahaha....Bluray, is it really necessary to be that long winded? Why not just keep it pithy?

As I said before, perhaps I am not talking too fast (longwinded) but some people are listening too slow (lazy/ retarded readers)

Sasa unaweza kuniambia wapi hapo nimekuwa long winded?

Au unataka nikupe mfano hapa wa jinsi gani naweza kuwa long winded purposely so you can see what longwinded really is?
 
Back
Top Bottom