joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
madini zenu zinaendaga wapi?..yani mnatumiwa vibaya unalialia kenya hapa hajioni
sema tu umezoea kula kwa kibandaski/ mama ntilie, hatutacheka kwa nguvu
kama huwezi afford ujipangeMan ati chips makuku ya kcf ni luxury food, nyie ni washamba sana lol
biashara gani mamilioni zinaenda UK hadi magu ameshindwa cha kufanya mali iko kwenu but sio yenuWewe acha mpumbavu, madini ni biashara, mtu yoyote mwenye pesa anaruhusiwa kuja kuweka investment, hukumbuki kwamba Kenyans are among biggest investors in Tanzania?. Sisi hatuwathamini wazungu kama ninyi ambavyo waogopa, juzi tumezuia containers zao za makinikia bila kujali rangi zao, Kenya hata kuwauliza hamuwezi.
wewe kweli jingaNdio kusema kuku wa kimarekani anaonekana bora kuliko wa bongo?
kuku sio wa marekani ni jina tu ama brand..KFC za bongo kuku ni za bongo..KFC za kenya kuku ni za kenya na viazi ya kenya inafaidi sana wakulima..sijui mbona hamuelewiNdio kusema kuku wa kimarekani anaonekana bora kuliko wa bongo?
kwa hiyo hamna kuku au mayai yanayoingizwa?kuku sio wa marekani ni jina tu ama brand..KFC za bongo kuku ni za bongo..KFC za kenya kuku ni za kenya na viazi ya kenya inafaidi sana wakulima..sijui mbona hamuelewi
Mojawapo ya comments za kijinga sana sana.. Napendaga wakenya wenzio wakina mk254 wanavyojenga hoja kwa weledi sio huu upuuzi unaotetea hapa.. Yaani ningekuunga mkono walau ungesifia homegrown companies za kenya zilivyosambaa east africa.. Unasifia utitiri wa stores z Junk Food? Afrika bado tuna safari ndefu sana…Haha why is your life expectancy low..excuses left right and centre...no kfc outside dar..we have it in nanyuki,kisumu,eldy,msa and naks.....you are poor to afford ..maybe a few like u can
Mbona kama unaona USA ni mbinguni? Watu wanaenda na kurudi kama kawaida tu.. Whats your point?Have you ever gone to usa.KFC leads in fast foods..kama haujui haujui...if u cant afford stops shit excuses
nani kasema ni binguni????..buda boss pambana na hali yako ya JanguaniMbona kama unaona USA ni mbinguni? Watu wanaenda na kurudi kama kawaida tu.. Whats your point?
biashara gani mamilioni zinaenda UK hadi magu ameshindwa cha kufanya mali iko kwenu but sio yenu
Kwahiyo wapika chips wengine hawafaidi kuku na viazi vya Kenya mpaka iwe KFC?kuku sio wa marekani ni jina tu ama brand..KFC za bongo kuku ni za bongo..KFC za kenya kuku ni za kenya na viazi ya kenya inafaidi sana wakulima..sijui mbona hamuelewi
kuku sio wa marekani ni jina tu ama brand..KFC za bongo kuku ni za bongo..KFC za kenya kuku ni za kenya na viazi ya kenya inafaidi sana wakulima..sijui mbona hamuelewi
locals suppliers do that..maybe you import in DarSio kweli, kuku za KFC nyingi zinatoka Brazili, acha kuzungumza mambo usiyoyajua
Lete ushahidi Tafadhali. Which Kenyans supply chickens to KFC.locals suppliers do that..maybe you import in Dar
Lete ushahidi Tafadhali. Which Kenyans supply chickens to KFC.
KFC opens business window for Kisumu poultry farmersLete ushahidi Tafadhali. Which Kenyans supply chickens to KFC.
mnakuliwa pesa zenu ata 1% hampatiSasa ulitaka nani aje kuchimba, kwanza sisi hatujawapa ardhi kama ninyi, sisi hawa ni investors kama walivyo wakenya, mbona husemi kila kitu kinaenda Kenya. By the way UK haichimbi madini.
mnakuliwa pesa zenu ata 1% hampati
hahhahahhahahaha but all the 2 billion goes to UK..for Tea it goes to the farmers..hahahhahahahahhaMining sector is the the second biggest source for the foreign currency for Tanzania, we get about $2B per year.
Your biggest source of foreign currency is tea, you get about $1.34B.