joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe acha mpumbavu, madini ni biashara, mtu yoyote mwenye pesa anaruhusiwa kuja kuweka investment, hukumbuki kwamba Kenyans are among biggest investors in Tanzania?. Sisi hatuwathamini wazungu kama ninyi ambavyo waogopa, juzi tumezuia containers zao za makinikia bila kujali rangi zao, Kenya hata kuwauliza hamuwezi.
madini zenu zinaendaga wapi?..yani mnatumiwa vibaya unalialia kenya hapa hajioni