joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
hahhahahhahahaha but all the 2 billion goes to UK..for Tea it goes to the farmers..hahahhahahahahha
hahahahhaahahahahahaaaHahahahahaha, wewe ni kichaa kweli, unadhani tungewezaje kupata pesa za SGR?, kwa taarifa yako tunaanza ujenzi wa mradi mkubwa Afrika wa kuzalisha UMEME wa maji kwa gharama ya $3.6B" KWA KUTUMIA PESA YA NDANI", haijawahi kutokea katika nchi za kusini mwa jangwa la Africa
Very funny....in Kenya rich people eat KFC junk...but in USA where KFC originated poor people eat KFC
Sio kweli, kuku za KFC nyingi zinatoka Brazili, acha kuzungumza mambo usiyoyajua
Tunaomba ushahidi katika hili TafadhaliKFC in Kenya gets all its chicken from Kenchic.
Actually, nadhani KFC zote East Africa ziko supplied na Kenchic kwa sababu Kuku Foods East Africa is a Kenyan company.
Tunaomba ushahidi katika hili Tafadhali
Kumbuka hata uyo makchicken atakuwa na kuhitaji kufika nchi za mbali je kwa concept hiyo unaona upo sahihiUmemjibu vizuri, ata hayo matano yafungashe virago. Kwanza kuku wao siyowatamu. Hapo kwa mak chicken nitasogea nika onje hao kuku wanaochanganywa na mbegu za maboga.
Yeah.. nipo sahihi ndiyo maana nikasema KFC kuku wao siyo watamu!! Niliwaungisha ila huduma sija zifurahia, ata makchicken kuku wake wakiwa wabaya sito rudi tena. Huu ni mtazamo wangu, wewe kama umewapenda kuku wa KFC endelea kuwatafuna.Kumbuka hata uyo makchicken atakuwa na kuhitaji kufika nchi za mbali je kwa concept hiyo unaona upo sahihi
KFC is junk food......whether farmers benefit or not....its junk food chain.
Tusiovuka Chalinze hatutii neno hapa. Ngoja niwahi vichwa na miguu ya kuku chachandu ya mama Shebi nilie ugali mie.Jeez...everybody knows what KFC is, tourist gani atakula kfc while huko walikotoka zinapigwa vita na ni aibu kula kfc. Ungekaa USA,UK etc ungenielewa, ila ukibahatika kupita na kula kula hizo junk unafikiri ni kitu cha maana. Can't afford KFC? Kweli una akili ya kimasikini.
Na wale Nzi wakubwa nao wakidhungu?Acheni mawazo ya kikoloni kila cha mzungu ni bora, yai kubwa ni la kizungu hata pua kubwa iitwe ya kizungu!