KFC stores hit 21 after Village Market launch.TZ has 5 nairobi has 17

KFC stores hit 21 after Village Market launch.TZ has 5 nairobi has 17

Hahahahahaha, wewe ni kichaa kweli, unadhani tungewezaje kupata pesa za SGR?, kwa taarifa yako tunaanza ujenzi wa mradi mkubwa Afrika wa kuzalisha UMEME wa maji kwa gharama ya $3.6B" KWA KUTUMIA PESA YA NDANI", haijawahi kutokea katika nchi za kusini mwa jangwa la Africa
hahhahahhahahaha but all the 2 billion goes to UK..for Tea it goes to the farmers..hahahhahahahahha
 
Hahahahahaha, wewe ni kichaa kweli, unadhani tungewezaje kupata pesa za SGR?, kwa taarifa yako tunaanza ujenzi wa mradi mkubwa Afrika wa kuzalisha UMEME wa maji kwa gharama ya $3.6B" KWA KUTUMIA PESA YA NDANI", haijawahi kutokea katika nchi za kusini mwa jangwa la Africa
hahahahhaahahahahahaaa
 
Very funny....in Kenya rich people eat KFC junk...but in USA where KFC originated poor people eat KFC

Unafaa utoke hio bedsitter yako utembee.

kfc1.JPG

kfc2.JPG
 
Sio kweli, kuku za KFC nyingi zinatoka Brazili, acha kuzungumza mambo usiyoyajua

KFC in Kenya gets all its chicken from Kenchic.
Actually, nadhani KFC zote East Africa ziko supplied na Kenchic kwa sababu Kuku Foods East Africa is a Kenyan company.
 
KFC in Kenya gets all its chicken from Kenchic.
Actually, nadhani KFC zote East Africa ziko supplied na Kenchic kwa sababu Kuku Foods East Africa is a Kenyan company.
Tunaomba ushahidi katika hili Tafadhali
 
Umemjibu vizuri, ata hayo matano yafungashe virago. Kwanza kuku wao siyowatamu. Hapo kwa mak chicken nitasogea nika onje hao kuku wanaochanganywa na mbegu za maboga.
Kumbuka hata uyo makchicken atakuwa na kuhitaji kufika nchi za mbali je kwa concept hiyo unaona upo sahihi
 
Kumbuka hata uyo makchicken atakuwa na kuhitaji kufika nchi za mbali je kwa concept hiyo unaona upo sahihi
Yeah.. nipo sahihi ndiyo maana nikasema KFC kuku wao siyo watamu!! Niliwaungisha ila huduma sija zifurahia, ata makchicken kuku wake wakiwa wabaya sito rudi tena. Huu ni mtazamo wangu, wewe kama umewapenda kuku wa KFC endelea kuwatafuna.
 
What hell on junk than damm, haunywi soda, juice, biscuit and those staffs from industries.

Usiandike alafu ndio ufikili, kufikili huanza.
KFC is junk food......whether farmers benefit or not....its junk food chain.
 
Jeez...everybody knows what KFC is, tourist gani atakula kfc while huko walikotoka zinapigwa vita na ni aibu kula kfc. Ungekaa USA,UK etc ungenielewa, ila ukibahatika kupita na kula kula hizo junk unafikiri ni kitu cha maana. Can't afford KFC? Kweli una akili ya kimasikini.
Tusiovuka Chalinze hatutii neno hapa. Ngoja niwahi vichwa na miguu ya kuku chachandu ya mama Shebi nilie ugali mie.
 
Naipenda sana KFC ni moja ya mgahawa unao ni inspire sana kwanyakati hizi, sio tunakuwa na chuki za kipuuzipuuzi eti junk junk, be inspired hao wakina Scott pizza, makchicken, Mrkuku na wengi wamekuwa inspired na migahawa mikubwa duniani then wewe mzembe tu una hata kibanda cha mama ntilie unaleta taalabu zako.
 
Back
Top Bottom